chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Rais wa Zimbabwe na mwenyekiti wa AU amejikuta katika wakati mguu alipokuwa akihutubia wananchi kupitia bunge la nchi.taarifa zinasema kuwa rais mugabe alipoanza kuhutubia wabunge kutoka upinzani walianza kumzomea na kufanya sauti yake isikike kwa kiwango cha chini sana.
zomea zomea hiyo iliendelea kwa Rais huyo na kufanya akatize hotuba yake kwa kutumia jumla ya nusu saa tu.
Taarifa zinasema kuwa hiyo ndiyo hotuba fupi kabisa kuliko zote alizowahi kuzitoa mugabe tangu awe rais wa nchi hiyo.