Rais Robert Mugabe ametishia Zimbabwe kujitoa kwenye uanachama wa SADC ikiwa umoja huo utaendelea kupinga kufanyika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe mwishoni mwa mwezi huu. Haya nayo mambo! Hii ni kwa mujibu wa taafifa ya habari ya BBC
Sijui kama ni kwa faida ya Zimbabwe au yake binafsi na wafuasi wake! Wengi tulitarajia baada ya matatizo yote haya Zimbabwe itatoka na mfumo utakaoihakikishia mshikamano na umoja. Lakini inaonekana bado itakuwa na migawanyiko.