Hatuwezi kula vyura ndugu yangu. Badala yake itatusaidia kukumbuka tunu za awali kabisa za utawala wa TANU na Mwl. Nyerere kuwa "nchi hii itajengwa na watanzania wenyewe, kila mtanzania, kila mzalendo na hasa kila mjamaa" Huu ndio ulikuwa mwanzo wa dhana ya kujitegemea ambayo viongozi wetu wameiweka kapuni na kuhubiri kuombaomba aka kuhemea.
Zamani hawa wanaoitwa wafadhili walikuwa na majina stahiki kama wakoloni mamboleo, mabeberu, wanyonyaji, makupe nk. Sijawahi kusikia katika siku za hivi karibuni kiongozi yeyote wa CCM akitumia majina hayo japo ukweli unabaki palepale kuwa huu tunaouita utandawazi ni uleule uliokuwa ukiitwa ukoloni mamboleo (neo colonialism) enzi hizo na Mwl Nyerere na viongozi wengine wenye akili wa Africa enzi hizo.
taarifa wanazo za kuwa uchaguzi ulikuwa huru (kidogo) lakini haukuwa wa haki hata kidogo. Sina hakika kama na mwaka huu ataenda kuomba net za mbu marekani wakati zinashonwa ArushaKuhudhuria kwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wakati wa kuapishwa kwa rais Kikwete kunaelezwa na wanazuoni huenda ikawa sababu ya nchi nyingi hasa za magharibi kusita kumpongeza rais Kikwete aliyeapishwa leo.
Nchi hizo za magharibi zenye ushawishi mkubwa duniani zikiwemo Marekani na Uingereza, pamoja na kuwakilishwa na mabalozi wake inasemekana hadi sasa hazijatuma salamu za pongezi za kuchaguliwa kwa Kikwete kitu ambacho si kawaida yake.
Ikumbukwe kuwa wakati wa uchaguzi uliopita wa Zimbabwe ambao ulilalamikiwa sana na UK na USA kuwa haukuwa huru na wa haki umepelekea hadi leo Mugabe na familia yake kunyimwa hati ya kuingia katika nchi hizo isipokuwa kuhudhuria mikutano ya UN pekee.
Wachambuzi wa mambo wanahisi tukio la leo kwa Mugabe kuhudhuria linaweza kuwa limetia doa mahusiano ya Tanzania na nchi hizo ikizingatiwa kuwa kuna madai yanayotolewa na chama cha upinzani Tanzania kuwa kulikuwa na udanganyifu wa kura wakati wa kuhesabu.
Vijana someni historia ili mjue mchango wa nchi hii kwa ukombozi wa nchi kama Zimbabwe. Wakina Mugabe wamelelewa hapa kwetu kisiasa kwahiyo uhusiano wa CCM na ZANU PF ni wa damu!! Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja Tanzania ikimcriticize Mugabe.
kuhudhuria kwa rais wa zimbabwe robert mugabe wakati wa kuapishwa kwa rais kikwete kunaelezwa na wanazuoni huenda ikawa sababu ya nchi nyingi hasa za magharibi kusita kumpongeza rais kikwete aliyeapishwa leo.
Nchi hizo za magharibi zenye ushawishi mkubwa duniani zikiwemo marekani na uingereza, pamoja na kuwakilishwa na mabalozi wake inasemekana hadi sasa hazijatuma salamu za pongezi za kuchaguliwa kwa kikwete kitu ambacho si kawaida yake.
Ikumbukwe kuwa wakati wa uchaguzi uliopita wa zimbabwe ambao ulilalamikiwa sana na uk na usa kuwa haukuwa huru na wa haki umepelekea hadi leo mugabe na familia yake kunyimwa hati ya kuingia katika nchi hizo isipokuwa kuhudhuria mikutano ya un pekee.
Wachambuzi wa mambo wanahisi tukio la leo kwa mugabe kuhudhuria linaweza kuwa limetia doa mahusiano ya tanzania na nchi hizo ikizingatiwa kuwa kuna madai yanayotolewa na chama cha upinzani tanzania kuwa kulikuwa na udanganyifu wa kura wakati wa kuhesabu.
"Mugabe , like many African leaders is a dictator. The only difference is that Mugabe is brighter than Jey Key" Lockfellor...
Jamani nimequote tu.....
Mnataka kuanzisha yale ya Januari 27? Chonde Chonde wenzenu hatujazoeaGazeti la Mwananchi