Mugabe aluvyonuniwa na Mkewe

Anazidiwa miaka zaidi ya 40 Na mzee
kweli kazidiwa miaka zaidi ya 40!!!, na alinza kama mchepuko wa Mugabe japokuwa alikua ameolewa na jamaa mwingine,..
imebidi nimtimbie Google kumcheki historia yake, nimekuta ana maskendo mengine kibao
 
Weka link mkuu
 
Huyo Grace Ana maskendo mengi sana Mzee anamvumilia tu
 
Huyo mama alikuwa mchepuko wa Babu Jongwe akiwa kama PS wake, baadaye mchepuko ukawa njia kuu baada ya njia kuu orijino kutoweka.
 
hiyo kitu mbaya sana ukinyimwa yaani hapo kawa mpole mwenyewe
 
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa aise hapa ndio naaamini hata hawa wakuu some times wakiwa ndani hadi nazi wanakuna pumbav zao wakitoka nje utasikia hapa kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…