Hao ni wawakilishi wa walio wengi hapa Afrika na yanayo wapata ndiyo yana akisi maisha ya baadae ya walio kwenye viti vyeupeHicho kizee sijawahi kukikubali hata senti tano!Wakikamate wakitandike bakora kama "salasini na sabaa" za makalioni halafu wakitupe jela!Mugabe and the old maddona Grace are disgraceful giraffes to all Africans!
Ulitaka uniloge wewe? Silogeki.Tatizo lako wewe umerogwa na TBC kila kukicha
The old boy has to be flogged as much as yells come out iwe mfano kwa miuchwara mingine.Hao ni wawakilishi wa walio wengi hapa Afrika na yanayo wapata ndiyo yana akisi maisha ya baadae ya walio kwenye viti vyeupe
Wakati si milele...!Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroniView attachment 972476
Hata waliowapoteza Ben na Azory watapatikana tu, tatizo muda....waache waendelee kumsifia sifia aendelee kuwalinda kwa Sasa....Wakati si milele...!
Ni ya huko SAUZI.... lkn pia Rais Mnangagwa atamalizana nao yy..Ina maana hiyo mahakama iliyo toa kibali cha kukamatwa hawana akili?
Walitesa Sana Kwenye Madaraka Bila Kujua Kua Ipo Siku Nao Watateseka Vivyo Hivyo!Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroniView attachment 972476
Impunity must be fought from all angles of the sphere because it is the factor that has contributed to the appalling state of democracy in many countries.
Grace Mugabe must be sent back to South Africa to face criminal litigation for her role in assaulting the former South African model.
This will serve as a lesson to the likes of Grace Mugabe who when finding themselves in the positions of authority think that they can do anything they desire without fear of being punished. They ought to know that, nobody is above the law.
Huyo ni Delila na Mugabe ni Samsoni.Huyu mwanamke alimtweza sana Mugabe mengi ya sera mbovu za utawala wa comrade Mugabe zilichagizwa sana na huyu mama.