Mufti Simba awasha moto

Mufti Simba awasha moto

Status
Not open for further replies.
Busara zaidi zinahitajika katika kuleta umoja na mshikamano wa waislamu hapa Tz.kuna haja ya kuifanyia reforms BAKWATA kwa mustakbari wa maendeleo ya waislamu nchini!
 
BAKATWA wash.....zi wehu.. Huyu simba roho yake ni sawa najina lake.hakika waislam hatuna ugomvi na mkristo.ugomvi wetu nijinsi bakwata wanavyokuwa vimbelembele.hawa bakwata munngu awalaani.laana ya mungu iwe juu yao.
 
bakwata ni tawi la ccm lilianzishwa lengo kuwakandamiza waslamu wasiwe na maendeleo waslamu maendeleo awana sababu ya bakwata angalia wa kristo wana vyuo vingi ,shule nyingi,mahospitali mengi kwa waslam ivi vitu very few

Ni kweli kabisa ndugu yangu. Nakuunga mkono kwa 100%. Bakwata ilibuniwa na Nyerere kwa lengo la kuwakandamiza na kuwadunisha waislamu. Waislamu wamerudishwa nyuma sana na Bakwata--kibaraka cha serikali na CCM. Waislamu hamuwezi kuendelea abadan ikiwa mtakubali kuendelea kutumikishwa na Bakwata chini ya mwavuli wa serikali. Amkeni!
 
Hicho kitabu nilishakisoma ni cha historia.Kinaongelea mambo yaliyopita .History is the study of past events) na mimi si mtumwa wa historia tofauti na nyie mnaopigia kelele BAKWATA kwa kuwa bado ni watumwa wa historia.Hayo yalishapita tugange yajayo saa hizi kila taasisi iko huru kujenga shule hospitali n.k jengeni si wakati wa kupigia kelele taasisi ingine kwa yaliyopita.Kwanza hakuna anayelazimisha waislamu wawe chini ya taasisi moja.Hata wakristo wana mabaraza kibao yenye imani tofauti lakini hayagombani.Shida iko kwenye mabaraza ya kiislamu kutwa kutukana BAKWATA si mtulie mpange mambo yenu huko kwenye mabaraza yenu.

Utaing`ang`ania historia ikufunge hadi lini? mwandika kitabu huyo alishakufa ,wengi aliowataja humo ndani wawe akina nyerere na wengineo waislamu na wakristo waliotajwa humo ni marehemu walishajifia miaka wewe bado tu umeng`ang`ana.WEWE ni mtumwa wa historia cha kufanya chukua hicho kitabu cha mohamed Said KICHOME MOTO halafu kaa na wenzio muongee future yenu mnaanzaje kuijenga kuanzia hapo.Vinginevyo utabakia kusema mohamed Said aliandika aliandika? una-quote maandiko yake utafikiri ni QURAN hiyo ni shirki katika uislamu.Watoto wengi wa kiislamu wanaharibiwa kwa kufunzwa kuwa watumwa wa historia wakati wakristo hawahangaiki na kuwa watumwa wa historia wanasonga mbele kutafuta maendele😵ndoka kwenye kijiwe cha historia tafuta maendeleo.

Jitahidi kuwaelimisha ndugu yangu, hawatakikibadilika wangelikuwa wanaangalia dunia na hali na wakati tulionao sasahivi hata wasinge jilipua. na wala kina alkaileda wangelikuwa ni kikundi kikubwa cha kuwaelimisha waislamu na kuwaletea maendeleo katika jumuia zao.
Jiulize hivi alkaeda ingelikuwa ni taasisi kama World Vision halafu ikawa inatoa ufadhili wa kujenga mahospitali na mashule kwaajili ya taasisi za kiislam duniani, waislamu wangelikuwa wapi sasa hivi? nafikiri hata mtazamo wao usingalikuwa huu uliopo sasa hivi. yaani kupambana na taifa kubwa duniani ambalo lilishasonga mbele kimaendeleo zaidi ya karne moja mbele yetu.
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu. Nakuunga mkono kwa 100%. Bakwata ilibuniwa na Nyerere kwa lengo la kuwakandamiza na kuwadunisha waislamu. Waislamu wamerudishwa nyuma sana na Bakwata--kibaraka cha serikali na CCM. Waislamu hamuwezi kuendelea abadan ikiwa mtakubali kuendelea kutumikishwa na Bakwata chini ya mwavuli wa serikali. Amkeni!

Kuamka tunaamka,ccm na bakwata wanajitaidi kuyapanga yakwao.wakiona mtu anawaamsha waislam,ili wadai haki zao kwa watawala.watakuita mchochezi.viongozi wengi wataasisi za kiislam wamejaa unafiki tu.ila bakwata ndio wanafki wakubwa.
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu. Nakuunga mkono kwa 100%. Bakwata ilibuniwa na Nyerere kwa lengo la kuwakandamiza na kuwadunisha waislamu. Waislamu wamerudishwa nyuma sana na Bakwata--kibaraka cha serikali na CCM. Waislamu hamuwezi kuendelea abadan ikiwa mtakubali kuendelea kutumikishwa na Bakwata chini ya mwavuli wa serikali. Amkeni!

CCM inawakandamiza waislam. Na kwakuwa Waislam wengi ni mazuzu wamegeuza vita yao dhidi ya Nyerere ambaye hayupo badala ya CCM.
 
CCM inawakandamiza waislam. Na kwakuwa Waislam wengi mi mazuzu wamegeuza vita yao dhidi ya Nyerere ambaye hayupo badala ya CCM.

wewe acha sometimes nikiwasoma hawa watu wanaokesha kumtukana marehemu ilhali ccm bado ipo na inaendeleza wanayoyakataaa nabaki nacheka tu
 
Alisema kikao cha mwisho cha jopo hilo chini ya
waziri mkuu kilihudhuriwa na baadhi ya
watendaji wa Serikali na mawaziri kadhaa
wakiwemo Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias
Chikawe, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina
Kombani, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
(Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na
Bunge) William Lukuvi na Mwanasheria Mkuu
wa Serikali, Jaji Frederick Werema.


Source: Jamba Leo
Waislam kwa akili zao wataamini hilo jopo lahao waliotajwa wataweza kuwapa wanachotaka!
 
BAKATWA wash.....zi wehu.. Huyu simba roho yake ni sawa najina lake.hakika waislam hatuna ugomvi na mkristo.ugomvi wetu nijinsi bakwata wanavyokuwa vimbelembele.hawa bakwata munngu awalaani.laana ya mungu iwe juu yao.

Bakwata ni chombo cha waislam sasa Unaposema MUNGU awalaani bakwata laana hiyo hata wewe inakufikia kwa sababu bakwata ni pamoja wewe.
 
Bakwata ni chombo cha waislam sasa Unaposema MUNGU awalaani bakwata laana hiyo hata wewe inakufikia kwa sababu bakwata ni pamoja wewe.

Bakwata haipo kwaajili ya waislam hapa tz.bakwata ipo kwaajili ya ccm na tiss.laana imeanza kufikia simba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom