Mufti,sheikh simba naye ni gamba kwa bakwata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mufti,sheikh simba naye ni gamba kwa bakwata?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bushman, May 10, 2011.

 1. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nilipoangalia taarifa ya habari jana, Mufti alikuwa akiweka jiwe la msingi katika kituo cha elimu Kondoa, nilisikitika kuona mufti Sheikh Simba, akisisitiza elimu kwa Waislam kwa dharau.

  Sijui ni kejeli, mzaha au kutojua anachokiongea, anasema "Muislam anayetaka dunia asome, (nini?) anayetaka ahela asome (nini?)" ama hakika Mufti simba ameshindwa kuwekeza na kuendeleza idara ya elimu kwa waislamu watz kupitia BAKWATA anayoiongoza badala yake amejikita kuitolea matamko CCM, ama hakika hili nalo ni gamba linatakiwa kuvuliwa.
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  jana wenzake walikuwa na semina elekezi dom ilitakiwa na yeye awepo mana ashakuwa mwana siasa na si kiongozi wa dini tena....
   
 3. t

  tufikiri Senior Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari yako imekaa kimajungu na kinafiki, haieleweki. Wewe unaonekana umekurupuka, na kama siasa zimekushinda achana na habari za kujadili dini hapa. Inawezekana nyie ni wale mliosema fulani ni chaguo la Mungu lkn alipowatosa mkaanza kutuhubiria mabaya yake. Kweli Mungu kajikosoa kwa chaguo lake.
   
 4. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hakuna suala la udini achana na kauli za wanasiasa na polojo zao za udini hapa mbona unaonyesha udhaifu mkubwa,wewe jibu kwa hoja,na uliza tena mufti simba naye ni gamba?
   
Loading...