Mufti Mkuu ametangaza kuwa Sikuu ya Eid El-adh'haa itaadhimishwa Julai 21, 2021

Kwa nini serikali isitambue na wale answar sunna maana wao wanaamini sikukuu ni kesho, ila wanalazimika kwenda kazini kwa sababu serikali inafuata sikukuu iliyotangazwa na bakwata....ni bora wangefikiria kuweka siku mbili ili kuweza kuwa accommodate wote..
 
Sasa Kama Waislamu wa Tanzania wenyewe wameshindwa kuelewana na kusheherekea siku yao pamoja, Serekali itawasaidiaje hapo!?
 
Back
Top Bottom