Mufindi

Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.
Safi sana

Ova
 
Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.
Kiukweli miezi hii iringa, njombe na mbeya kwa uku kusini ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…