Muelekeo wa leo wa Blog katika uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muelekeo wa leo wa Blog katika uchaguzi 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Dingswayo, Oct 21, 2010.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimepitia blogs za Michuzi, Njengwa na Global Publishers kufuatilia habari mbalimbali, hasa zile za uchaguzi. Ni Global Publishers tu ndio walioweka picha ya Dr. Slaa Mwanza. Hili limenishangaza kwa vile Dr. Slaa kuuteka Mwanza jinsi ile ni kitu cha kuwa katika habari, hasa katika globu za jamii. Nilishangaa vilevile kuona kuwa Global Publishers ndio waliobandika picha hiyo, ukizingatia kuwa mwenye Global Publisher alikuwa mgombea ubunge CCM!
   
 2. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,450
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Mkuu usishangea hao uliowataja inawezekana ni kama bendera kufuata upepo wapo wapo.Lakini upeo wao unatia shaka, mdogo na tamaa mbele,sio kwamba wanampenda JK ni mamluki, lakini ni wanafiki,ni hatari kuliko malaria.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Maggid bado kuona ile muti moja murefu ilivyogeuka musitu jana ndani ya mwanza.
  Usishangae mkuu, hilo ni jambo la kawaida sana kwa hao waosha vinywa, kwani hata TBC1 nao jana waliamua kutusikilizisha sauti ya jaffary haniu, na picha wakaionyesha leo asubuhi wakijua fika watu wengi bado wamelala au waliowahi kuamka wanajiandaa kuelekea makazini.
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mAGGID NI MTU ASIYEIHESHIMU SIASA, NI mtu dhalili anaenunulika, mtu mwenye tabia za popo, hajulikani yuko upande upi.
   
 5. M

  Miruko Senior Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Usiache blog nyingine pia iko ya Kisima cha Fikra
   
 6. S

  Shapecha Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nilidhani tatmini ninaifanya peke yangu kumbe na nyie mmegundu eeh! Kwa taarifa Michuzi anazunguka na Kikwete Tanzania nzima so yupo busy na kuweka picha za kikwete tu thats why unakuta kila baada ya masaa kadhaa kuna picha mpya juu ya wagombea wa CCM na akijisikia baada ya siku kadhaa ndiyo anaweka picha za Dr. Slaa au Zitto tena akijitahidi sana 2. Huyo magid ndiyo du! Michuzi Jr anajitahidi sana. Lakini waache Hizo bog nyingine ziandike habari ca CHi CHI EM huenda wameahidiwa ukuu wa wilaya, Mikoa, Ubalozi na nyingine kibao
   
Loading...