Hakuna cha ajabu hapo, hao wamenaswa picha wakiwa katika kuamkiana, na kama mnavyojuwa kwa ustaarabu wa pwani kila mmoja huwa anawahi kuubusu mkono wa mwenzake katika kuamkiana kirafiki, Na ndugu yetu Mudhihir bahati mbaya baada ya ajali mkono wake uliobaki ni wakushoto ndio maana inaonekana kuwa ni odd. Kukejeli ni kucheka kilema.
Tukumbuke "hujafa hujaumbika"