Mudhihir Mudhihir na JP - Ipe maneno picha...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
jk.JPG
 
Ulimchomea kijana wa Kigoma (Zito Kabwe) wakati hakuwa na makosa yoyote akasimamishwa bunge kwa muda lakini hukumu ya Mungu kwa mkono ulioutumia kumchomea ukaondolewa na aliyeuweka. Siku nyingine kuwa makini wakati unapoongea maana watu wengi wana magical power. Si unaona sasa na hata katika siasa umedolola na mimi (Kikwete) kwa sasa sina jinsi ya kukusaidia tena......"quote from JK akiongea na Mudhihir
 
Nimeikubali hii inaendana hasa na picha
 
Hakuna cha ajabu hapo, hao wamenaswa picha wakiwa katika kuamkiana, na kama mnavyojuwa kwa ustaarabu wa pwani kila mmoja huwa anawahi kuubusu mkono wa mwenzake katika kuamkiana kirafiki, Na ndugu yetu Mudhihir bahati mbaya baada ya ajali mkono wake uliobaki ni wakushoto ndio maana inaonekana kuwa ni odd. Kukejeli ni kucheka kilema.

Tukumbuke "hujafa hujaumbika"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom