Mudavadi ni project ya kibaki

princeamos

Member
Feb 24, 2012
52
1
Habazi za kuaminika nilizo zipata nikwamba Musalia mudavad amekula mahela mengi ili awachanganye wakenya huyo jamaa anatumia na KIBAKI,UHURU,RUTO,lengo haswa nikuhakikisha kwamba Raila haingii ikulu.
 
Habazi za kuaminika nilizo zipata nikwamba Musalia mudavad amekula mahela mengi ili awachanganye wakenya huyo jamaa anatumia na KIBAKI,UHURU,RUTO,lengo haswa nikuhakikisha kwamba Raila haingii ikulu.

Hoja hii yako ina maana Amolo tinga yuko kwenye njia panda wakati huu. Chama chake kimeopoteza magwiji ambao wangemsaidia RAILA kunyanyua kura kuingia ikulu. Hapo bonde la ufa, Ruto ndio msema yote. Mudavadi yuko mbioni sehemu za magharibi. ODM imebaki na kosgey ambaye alipewa afueni na ICC na asipochunga atabaki kukosa ushawishi na kushuka kiwango kama cha mwanachama tu.
 
Kama alichoandika Miguna Miguna ni kweli hata robo tu, hakuna tofauti yoyote kati ya Kibaki na Raila.

Umesoma "Peeling Off The Mask"?
 
Huyu miguna kama waswahili wanasema, mgalla muue lakini haki mpe. Bado miguna analilia marupurupu yake kutoka kwa pm. Ndio kusema hata akaingia uongozini, watu watalazimishwa kulala njaa.
 
Huyu miguna kama waswahili wanasema, mgalla muue lakini haki mpe. Bado miguna analilia marupurupu yake kutoka kwa pm. Ndio kusema hata akaingia uongozini, watu watalazimishwa kulala njaa.

Hivi Raila tangu awe PM kuna lipi la maana alilofanya anaweza kulisema hili nimefanya mimi na chama changu?
 
Hivi Raila tangu awe PM kuna lipi la maana alilofanya anaweza kulisema hili nimefanya mimi na chama changu?

Ndio hata najiulia mimi ikizingatiwa ni serikali ya mseto na mamlaka yake PM inavyoidhinisha katiba mpya ni kubwa. Kwa sasa niseme sioni lolote amefanya isipokuwa kulilia haki za binadamu.
 
Ndio hata najiulia mimi ikizingatiwi ni serikali ya mseto na mamlaka yake PM inavyoidhinisha katiba mpya ni kubwa. Kwa sasa niseme sioni lolote amefanya isipokuwa kulilia haki za binadamu.

Kulilia haki za binadamu hata mie Kiranga nisiye nyota wala unyoya serikalini naweza.

Nilivyomsoma uhasidi wake na uafriti lukuki naona na yeye muuza maneno tu.
 
Hivi Raila tangu awe PM kuna lipi la maana alilofanya anaweza kulisema hili nimefanya mimi na chama changu?
Kiranga,

greetings to you mkuu mwenzangu.

I believe you are asking this question genuinely and I'm inviting one of our new members who
I know personally to come answer you on this one.

DonBen please do me the honors of enlightening Mkuu Kiranga on this matter.

Ab-Titchaz
 
Kulilia haki za binadamu hata mie Kiranga nisiye nyota wala unyoya serikalini naweza.

Nilivyomsoma uhasidi wake na uafriti lukuki naona na yeye muuza maneno tu.

Kweli ni muuza maneno, wakati huu nashindwa ni mbinu ipi chama itatumia kuingia ikulu?!
 
Back
Top Bottom