Usishangae mkuu ndio aina ya walimu tulionao though kuna ambao wapo kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya kwenye elimu yetu ila kuna ambao kama huyu wameingia kwa bahati mbaya simply because hakuwa na alternative nyingine na mwisho wa siku akaingia kusoma ualimu pasipo nafsi yake kumtuma
nawachukia wanaume dizaini kama yako!ndio akili zako na ufahamu wako ulivyo wa hovyo hivyo?eti una mchukia ulipokuwa unatenda ujinga wako mbona hukumchukia!?acha kudhalilisha fani ya ualimu.