Muda wetu umefika!

Naomba kwa Mungu ukifariki, basi maiti yako isizikwe bali idonolewe na kunguru mpaka ibaki mifupa. Wewe hauna sifa za ualimu.
 
Duu hili Tusi la Punguani wahed naona wanatukanwa wengi halafu na lile lingine la kuhorojoka
My piece advice to you Ff Hii ni social media huhitaji kutoa povu kila wakati as if you know everything
Hahaa Mshanaaaaaa!Cheichei kaka :help::help:
 
Anaye andika haya madudu akitukuza ngono ni Mwalimu?Damn kumbe sipaswi kushangaa ninayo yashuhudia TZ yetu!
 
Bila shaka utakua unafundisha somo la stadi za kazi au haiba na michezo!!!..
 

kulikua hakuna haja kuja kazi yako jamaa sasa ona walimu wanavyo zalilika kwa upuuz wako watu wengne ni shidaaaaaa...!
 
Waalimu wapya mnapenda kutiana kweli!

Si mtiane wenyewe kwa wenyewe jamani!

waacheni mabinti hawa nao wasome!

Yani umeshindwa kucheza na saikolojia ya mtoto mdogo unaemzidi karibu kila kitu!

Ok, karibu kwenye dunia nyingine...
 
.mwalimu huna uamuzi, una haribu binti wa watu .kwa upambavu wako....
 
Hivi wewe ni mwalimu kweli?au mwalimu wa kupaka rangi magari? Umeandika vitu vya ajabu sana na umenisababishia usumbufu mkubwa sana na usio wa lazima leo. nashindwa kupata usingizi kwa ajili ya huu uzi wako

Hihihihi kizibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…