Muda wa mapacha watatu umewadia...

Muda wa mapacha watatu umewadia...

Baada ya kurejeshwa kwa chenji ya Rada nchini ambayo imepangwa 'kununulia' madawati,muda umefika kwa mapacha watatu-EL,AC na RA kushughulikiwa.Taarifa zilizonifikia zinabainisha kuwa wakuu wa nchi walikuwa wakisubiri kurejeshwa kwa chenji ili kila pacha awe na jambo lake linaloonekana wazi mbele ya wananchi.

Wakati EL akihusishwa na Richmond-Dowans,RA hatoki kwenye Dowans na KAGODA;AC anakabwa koo na Rada.Kwa mpangilio huo,taarifa zinadai,hakuna atakayesalimika.Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi tayari alishakabidhiwa mafaili ya mapacha watatu.Ni muda wake muafaka sasa kuchukua hatua.Rais wetu Kikwete na asimwingilie.

Picha inaanza..

Sijui watanzania wenzangu mnalichukulia vipi hili jambo....ni aibu kwa taifa linaloibiwa wazi wazi halafu linaomba lirudishiwe chenji,ni aibu kwa taifa linalochekacheka na wezi halafu kiongozi wake anakenua meno ati amerudishiwa chenji...na sijui kwanini inaitwa chenji,sijui labda kama mimi sijui vema..nachojua chenji ni sehemu ya pesa iliyobakia baada ya kununua bidhaa fulani..sasa sijui hii ya rada ilibakia au tuliibiwa..nadhani iitwe kwa jina lake kuwa pesa iliyoibiwa imerudishwa...
 
Mkuu naona leo unaota mchana mchana siyo. Usiku ulikuwa lindo, ebo!
2015 utabaki mdomo wazi wakati Lowassa atakapokuwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa. Ukweli mchungu ila itabidi uumeze hivyo hivyo.
 
2015 utabaki mdomo wazi wakati Lowassa atakapokuwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa. Ukweli mchungu ila itabidi uumeze hivyo hivyo.
Atakuwa Rais wa kwanza wa Tanzania kupinduliwa kijeshi au kwa nguvu ya umma...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom