Muda wa maakuli...

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ndio maana mnaburuzika matumbo na kusababisha kibamia! yaani chipsmayai, samaki na nyama choma ya mbuzi/ng'ombe... ndio chakula chawanaume wa dar 😎
 
Sijui Sima iliwakosea nini, yaani chakula cha kulamba ndo mnatunishiana nacho misuli?
 
Ndio maana mnaburuzika matumbo na kusababisha kibamia! yaani chipsmayai, samaki na nyama choma ya mbuzi/ng'ombe... ndio chakula chawanaume wa dar 😎
Alaaaa! Kumbe ni samaki? Mimi niliona rangi hivi kichwa kikachapa mende tu. Dah! πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…