Muda wa kutunza siri kwa sisi wanawake

Muda wa kutunza siri kwa sisi wanawake

Haya shosti tuambie moja isiyo na umuhimu
Si unajua siri ziko kwenye madaraja matatu.
confidential
secret
top secret

Sasa mie hivyo vi confidential huwa sivitunzi, nikikipata hata dakika 6 siwezi kukitunza nishakitoa kwa watu tayari😀😀😀😀😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umesema ukweli
Si unajua siri ziko kwenye madaraja matatu.
confidential
secret
top secret

Sasa mie hivyo vi confidential huwa sivitunzi, nikikipata hata dakika 6 siwezi kukitunza nishakitoa kwa watu tayari😀😀😀😀😀
 
I think inategemeana mtu na mtu sidhani kama inaweza ukawa kwa wadada wote
Rejea maandishi ya lugha ya Malkia juu ya picha (the average....). Huo ni wastani wa muda kwa mwanamke kutunza siri, ni hayo masaa 47.15. Kama wewe umebahatika masaa 48, hongera, kuna mwenzako dakika 55 tu, tena hapo atajitapa. Ha ha ha...
 
Inategemea siri na siri..Kama kafokonyolewa na limzee dingi unadhani anaweza sema..Hesabu miaka mjomba
 
Rejea maandishi ya lugha ya Malkia juu ya picha (the average....). Huo ni wastani wa muda kwa mwanamke kutunza siri, ni hayo masaa 47.15. Kama wewe umebahatika masaa 48, hongera, kuna mwenzako dakika 55 tu, tena hapo atajitapa. Ha ha ha...
Umakini kama wote. Uko vizuri
 
Mkuu wamesema muda wa wastani,

Kwa hiyo wewe unaweza kutunza siri mwaka mzima, lakini kuna mwanamke mwenzako somewhere anaweza tunza kwa dakika tano tu
 
Inategemea na siri yenyewe
Mkuu wamesema muda wa wastani,

Kwa hiyo wewe unaweza kutunza siri mwaka mzima, lakini kuna mwanamke mwenzako somewhere anaweza tunza kwa dakika tano tu
 
waumin watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatiz yao ili waweze kuombeana...

1..Mimi tatizo langu ni wizi. kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa ya sadaka

2..Tatizo langu ni wanawake, yaani nimeshalala na wake wa waumini wenzangu,

3..Akaaza kulia badaya ya kuongea Wenzake we vp mbona unalia?
Akajbu jamani mimi tatizo langu ni "UMBEA"haya yote tuliyoongea lazima nikaseme..
 
Mwanamke hata akikaa Na Siri mwaka ,..ila akisafiri hata kwenye basi atamwambia Wa Jirani yake.
 
Sijui. Mi sina mashoga

Hilo swali lilikuwa ni kwa wanawake wote waliochangia na wanaoendelea kuchangia huu uzi. Omba wenzako wakusaidie - kama huwa mnatunza siri mkiliwa "0713" au huwa mnasimuliana?? Omba msaada kwa wenzako wakusaidie. Ili tujue kama kweli mna "siri"?
 
Back
Top Bottom