Muda wa kutunza siri kwa sisi wanawake

Muda wa kutunza siri kwa sisi wanawake

Mwanamke hata akiua, anawashwa washwa amwambie hata shoga yake, Nilikuaga na demu yan akiwa na siri utamjua tuu, hatulii hata kwenye kiti, yan hana anachoongea/fanya akakamilisha, mdomo n kama unamuwasha, nilikua nikimuonaga tu hvyo namuambia "Haya mama tua mzigo wako maana huna utakachofanya leo" hahaaaa atadengua kwanza half unashangaa huyo,
Hawa viumbe sometimes soo funny,
 
Yah sio kweli..

Unajua Kila sifa mbaya tumepewa wanawake, nasi tumekubali. Lkn hakuna mtu mwenye kutunza Siri Kama mwanamke.

Imagine mtu anazaa mtoto nje na anajua lkn anaficha miaka nenda Rudi baba wa ndani anajua mtoto wake.

Lkn pia wanawake wamewafichia waume zao mapungufu mengi sana.
 
Atakuwa ni sifa yake tu yeye, sio kwa wote. Kama ambavyo wapo wanaume nao huwa wanawashwawashwa tu.
 
Wanawake bwana 😂😂. Yani anaweza hata akawa ana cheat/chepuka kwa siri (mwenza hajui) lakini haitakuwa siri maana lazima atawaambia mashoga zake. 😂🙌🙌🙌
 
Ati mnasema hatujui kufanya nini? Ile 49% mlikuwa mnaijua si mpaka mmekuja kushtuliwa na mkemia mkuu? Hakuna mtu anatunza siri kama mwanamke...hivi mimi hapa siku bi mkubwa ikiniambia huyu mtu unamuitaga baba siye yeye hata sitoshangaa
 
Ukitaka huo mda maalum usifike na siri itoke ndani 24hrs msisitizie tu kwamba usiseme hii ni siri yetu wawili
Baada ya hapo ingia ndani,ukitoka anakuhadisia wewe ,tena anakwambia usimwambie mtu ,akidhani wewe nitofauti yule alompa taalifa.
 
Hope wamekuelewa...
Unajua Kila sifa mbaya tumepewa wanawake, nasi tumekubali. Lkn hakuna mtu mwenye kutunza Siri Kama mwanamke.

Imagine mtu anazaa mtoto nje na anajua lkn anaficha miaka nenda Rudi baba wa ndani anajua mtoto wake.

Lkn pia wanawake wamewafichia waume zao mapungufu mengi sana.
 
Huyo dada alikua dhaifu... Wengine tuko imara
Mwanamke hata akiua, anawashwa washwa amwambie hata shoga yake, Nilikuaga na demu yan akiwa na siri utamjua tuu, hatulii hata kwenye kiti, yan hana anachoongea/fanya akakamilisha, mdomo n kama unamuwasha, nilikua nikimuonaga tu hvyo namuambia "Haya mama tua mzigo wako maana huna utakachofanya leo" hahaaaa atadengua kwanza half unashangaa huyo,
Hawa viumbe sometimes soo funny,
 
[emoji4][emoji3] sio wote
Wanawake bwana [emoji23][emoji23]. Yani anaweza hata akawa ana cheat/chepuka kwa siri (mwenza hajui) lakini haitakuwa siri maana lazima atawaambia mashoga zake. [emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasubiri wakujibu

Back
Top Bottom