Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
550
Reaction score
1,019
Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00)
Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na mbili jioni; tofauti na sasa ambapo wateja wanalipia gharama za maegesho hadi saa moja ya usiku
 
Back
Top Bottom