maegesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO ICD ya Bravo Mabibo imegeuza barabara kuwa maegesho ya malori; TASAC, Halmashauri ya Ubungo mpo?

    Bandari Kavu (ICD) ya Bravo Ubungo, inayotumika kama kituo cha kuhudumia mizigo ya makontena, iliyopo Mabibo Kisiwani, katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, nyuma ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara zilizopo pembezoni mwa eneo hilo. Kwa sasa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa TARURA kukusanya hela ya maegesho ya magari Dar es Salaam upoje? Mbona wanakusanya hadi kwenye maeneo ya watu binafsi?

    Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo. Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kinaibua maswali kuhusu utaratibu wa utozaji huo. Unapokwenda kwenye baadhi ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TAA yatangaza viwango vipya vya gharama za maegesho ya magari Uwanja wa Ndege Dar (JNIA)

    MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA 29 Septemba, 2026 YAH: GHARAMA YA MAEGESHO YA MAGARI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inapenda kuutaarifu Umma kuhusu gharama mpya za maegesho ya magari katika Kiwanja cha Ndege cha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TAA yatangaza viwango vipya vya maegesho ya magari, viwanja vya ndege na faini zake kufika hadi Laki moja

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetangaza viwango vipya vya ada za maegesho ya magari katika viwanja vya ndege, huku ada za saa ya kwanza zikianzia Shilingi 3,000 kwa magari ya abiria. Kwa mujibu wa tangazo hilo, magari ya abiria yatalipia Shilingi 3,000 kwa saa ya kwanza, huku...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu aagiza uchunguzi wa mapato ya maegesho Ifunda

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukusanyaji wa mapato ya maegesho katika eneo la Ifunda wilayani Iringa na kuwasilisha taarifa kamili kuhusu namna mapato hayo yalivyokuwa yakikusanywa kabla na baada ya mabadiliko ya...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Uholela wa maegesho na biashara ndogo unavyosababisha foleni kubwa Dar Jioni – Bunju, Gongolamboto na Mbagala Rangi 3

    📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu) Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania K/Mkurugenzi Ubungo: Kampuni ya Boss Kazi company limited imepewa mamlaka ya kukusanya ushuru wa maegesho yasiyo rasmi, ataekiuka hatua za kisheria zi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO Tarehe: 11-04-2025 TANGAZO MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WATUMIAJI WOTE WA VYOMBO VYA MOTO (MAGARI, BAJAJI, NA PIKIPIKI) KUWA KUANZIA TAREHE...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

    Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00) Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  13. Kitchener

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Jiji Dodoma fuatilia watoza huduma maegesho wako!

    Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha ninachodaiwa. Nimekuwa nikilipa kweli. Nikaamua kufuatilia hizo bili. Kucheki, nyingi huwa gari haitumiki...
  17. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  18. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo; 1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1. 2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe). ====...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
Back
Top Bottom