Chato tena
Member
- Jan 17, 2021
- 24
- 50
Na hii ni taharuki tuuHabari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea.watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanye dua kwa wagonjwa wote waliopo katika mahosipital, majumbani Mungu awape tahafifu ili waweze kupona magonjwa yao.Pia mwenyezi awaepushe watu wetu kutumia mianya ya magonjwa yetu kuiba na kupiga pesa ndefu.Amiyyn
Mambo ya PMG ni hatari watatutua na njaa.Kwanini useme hivyo?
Yanini tena!?Na hii ni taharuki tuu
Wewe kaka/mdada mimi huko sipo kwa taarifa zilizopo mambo ni salamaKatika orodha ya manduli ...
De la stoni yupo.
Akifa nduli Mimi siwezi kulia.
Umenielewa vibaya ipo hivi NDULI akifa mimi siwezi kulia.Wewe kaka/mdada mimi huko sipo kwa taarifa zilizopo mambo ni salama
BalaaMambo ya PMG ni hatari watatutua na njaaa