Muda wa kula

Weeeeeh................. umepata wapi hii picha ya Monkey Ngabuu???!!!!1😱😱😱

Nyani Ngabu ona wamekuweka hapa siku ya thanksgiving ukipata dinner nyumbani kwako........................

Shida ni aliyekupiga picha not me.............😎😎😎

Silly Kasie πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Katika pita pita zangu Kasinde ila usimwambie huyu Nyani Ngabu
 

Ha....you got jokes, huh?

You are a bad mamma jamma!
 
Katika pita pita zangu Kasinde ila usimwambie huyu Nyani Ngabu

Usigofu sitamwambia kwanza saa hii amelala fofofo na haa akija kuona hawezi sema kitu wala andika kitu atapita kama hajaiona vile, atajikausha tuu ndo kaiwada yake mradi tuu usimchokoze tena kwa kurusha picha yake ingine humu.

La ugomvi utakaouanisha nisipo uamulia mimi basi pona yako ni asilimia 0.0001............. muulize Babu Asprin hadi leo kimyaaaaaa πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Babu nakusalimu nimekumiss siku mingi hatujatiana machoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa mbona ameshapita huku tayari duuuh. Ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ha....you got jokes, huh?

You are a bad mamma jamma!
Hhahahaaa

Kasie is not only a bad mama.... but a baddier lion of the jungle............

Who is a bad wolf.............. scared???? ........... c'mon don't let me down baddies are not scared....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sasa mbona ameshapita huku tayari duuuh. Ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Acha woga ukiwa na undercover unakula kobis πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›. Tulia kama maji ta mtungini sinema liendelee (kidding bana don't take it serious)

Silly Kasie.
 
Acha woga ukiwa na undercover unakula kobis [emoji14][emoji14][emoji14]. Tulia kama maji ta mtungini sinema liendelee (kidding bana don't take it serious)

Silly Kasie.
Ngoja uwoga pembeni [emoji123]
 
Huh?

Wewe na Komredi Asprin hamjafanya nini?

Nakoz na frankiki zinakuhusu.

Hhahahahahaa wee nawe, ukianzaga kupekua unaona hadi nukta heheheheee

Kwani hujui kuwa babu nae ni joka la kibisa halina madhara???? πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Just a glass of beer and three cheersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nilivy bingwa wa race, utanikamatia wapi kuni nakoz na frankiki πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› nilivyo muoga wa kupigwa ntatoka ndukiiiii utabaki unasoma dodoma singida mkoa wa tabora.. dodoma singida mkoa wa tabora.... dodoa singida mkoa wa tabora...(kama utaelewa maana ya kutamka hiyo mikoa kwenye sauti kama ya kiwimbo) utakuwa umenipata πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hhahahaaa

Kasie is not only a bad mama.... but a baddier lion of the jungle............

Who is a bad wolf.............. scared???? ........... c'mon don't let me down baddies are not scared....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

No, you are a lioness. The queen of the bushes. Not the jungle.

The jungle is my domain.
 
No, you are a lioness. The queen of the bushes. Not the jungle.

The jungle is my domain.

Hhahahahhaaa haya babaa twende mkono wangu mkono wako........... mguu wangu mguu wako............... bega langu bega lako................ hadi..............πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hhahahahahaa wee nawe, ukianzaga kupekua unaona hadi nukta heheheheee

Kwani hujui kuwa babu nae ni joka la kibisa halina madhara???? πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Hmm....Komredi Asprin, unahitaji hapa. Siamini komredi anaweza akawa chatu wa Kibisa.


Kheeee kwani we ni Joyce wowowo?
 
Hmm....Komredi Asprin, unahitaji hapa. Siamini komredi anaweza akawa chatu wa Kibisa.
[/QUOTE]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…