Ndegemakwava
Member
- Jun 23, 2022
- 55
- 119
Hivi umoja wetu wa Afrika haujatoa tamko lolote kuhusiana na hili katazo.
Hivi umoja wetu wa Afrika haujatoa tamko lolote kuhusiana na hili katazo.
Corona ilimfanya nini kwani..??!Yule alikua kichaa kichaa, hakujali maumivu ya wananchi wala yakwake binafsi linapokuja suala la kutaka sifa.
Angalia corona ilichomfanyia.
Corona ilimfanyia nini[emoji848][emoji848]Yule alikua kichaa kichaa, hakujali maumivu ya wananchi wala yakwake binafsi linapokuja suala la kutaka sifa.
Angalia corona ilichomfanyia.