Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Western wametukataza tusinunue Mafuta toka Kwa mkombozi wetu Russia isipokua nafaka tu ambazo na zenyewe tunazo kwetu tunazilima sana tu.
Its too late kuinuka na kuamka sasa hivi. kuwapinga maana wao mpaka wanatukataza wa Africa wanajua ni wapi wakishika hatuna ujanja. madhara ya kununua mafuta ya russia ni mabaya kuliko kuendelea na changamoto ya mfumuko wa bei uliopo. Mwili unataka kupingana na USA lakini Akili inakataa.
Njia pekee za kununua mafuta ya Russia sasa hivi ni kupitia njia za Magendo tu
na wakikubaini you are finished.
Hata washirika wa Russia wanataka kununua mafuta lakini kumlipa kwa Swift hawawez unamlipaje.
Ipo hivi siku Western wakipata njia ya kudumu mbadala wa mafuta na gesi ndo itakua balaaa. maana hawachelewi kusema kua rubble ya Russia haitambuliwi kama frdha ya kimataifa kuepuka hilo russia akasema basi mafuta yangu na gesi zitanunuliwa kwa Rubble. ili kuibakisha Rubble duniani.
Putin anatafuta washirika washirika nao wana mkubalia sawa Tuta nunua mafuta yenu Lakin wanajiuliza Tunakulipaje Bwana mkubwa??
Benk moja tu ya urrusi ndio ilio bakishwa kwenye Mfumo wa Swift. na hio ni kwaajili ya kuwauzia western Gas [emoji618]️ si vinginevyo.
Ndio maana Russia anawapa western gas kwa kunyunyizia ili utegemez wa gas uzidi kua mkubwa wasiwe na akiba ya Kutosha wakamfungia Mazima maana Russia sasa hvi hakopesheki wala Hakopi
Anatumia gharama kubwa ya kuendesha vita kuliko mapato.
Am telling you brother
western na USA bado wanaitawala Dunia
Tulimtegemea ataleta balance of power Russia na China Ndio hao.
sijui nani atatukomboa?
Nafikiri Africa tungeendelea kuishi mapangoni na kudumisha mila zetu walizo tuachia mababu. tuish mapangoni na kutegemea vitu vya Asili hii globalization tumeingia kwa kukurupuka kidogo.
Yaani hata tukiungana muungano unakufa haumalizi miaka. ukiuliza kisa wanakuambia siwez kuungana had na mimi nipate madaraka makubwa kwenye Muungano na fursa za kuiba.
Its too late kuzinduka sasa hivi
Siasa zetu za Undumi la kuwili ndizo zinazo tufikisha hapa.
Kwa sababu hata wawekezaji wanatoka katika maeneo hayo mawili ili wawekezaji wa kibeberu waje wanataka ukubali sheria za kibeberu na sisi tupo newtral na ili wawekezaji wa mrengwa wa kicomunist waje wanataka sera zao zitawale wakikukuta upo Newtral wanakuacha.
Huu Umalaya wa kisiasa huku tunataka na huku tunataka unatuponza sana Africa
Fikiria wale wote walio chagua upande wa kuepo ndio wanao neemeka sasa.
Upofu tu.
Kama tangu zamani tungefungua milango kwa Mabeberu nasisi leo Tungekua Beberu la Africa ila nyerere kwa kuendekeza china ambayo hata ucomunist wenyewe umewashinda. ndio ulio tufikisha hapa.
Hatuupendi ubeberu kwa sababu Viongozi wetu wanaogopa Uwazi, Democracy na Uwajibikaji
ASALAM ALEYKUM.