kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Sijui ni mtu mwenyewe au ni mazingira aliyokulia. Sikuwahi fikiri kuwa siku moja na mimi nitapenda. Ila siku hiyo imefika na nimependa pasipopendeka. Siyo kuwa huyu ndo msichana wa kwanza kuwa naye kwenye mahusiano bali ndo wa kwanza niliyempenda. She is driving me crazy. What should I do peoplezz.