Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo.Mpaka saa hizi saa23:00 pm. Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/

Na bado wanaonesha wako hai na mimi nimebakiwa na 8300/ sa sijui nile kudadadeki. Yani 80% ya mshahara ushapotea na leo ndio tarehe 30, ishakula kwangu yani hata pombe haishuki. Alaf unaona kama wamenishtukia kua salio limekata maana wanatumianamessage tu, nawaona.
 
Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo
Mpaka saa hizi saa23:00 pm
Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/ , na bado wanaonesha wako hai na mimi nimebakiwa na 8300/ sa sijui nile kudadadeki
Yan 80% ya mshahara ushapotea na leo ndo tarehe 30, ishakula kwangu yan hata pombe haishuki *****.
Alaf naona kama wamenishtukia kua salio limekata maana wanatumiana sms tu, nawaona.

Unatumia sim gani nije nikuvue,mana mtu mzima mwenzangu naona ushaumbuka.
 
kuna jamaa jana humu jf alikua natukio kama lako aka escape from sobibo hata bill yake akailipa dem sasa we onesha ustaa,. uone

Niliona kaka sasa leo yamenikuta mimi yaan we acha tu usiombe yakukute haya
 
...

.Hii mambo huwa tunatembea na funguo za buruwariz ikijifanya kujuwa kunywa maji ya kisima kwa fujo tunamfungulia Pacific
 
Teh teh teh... Hv leo ndo nyama choma festivo?
 
Back
Top Bottom