je kuna utaratibu wa kunywa maji kabla ama baada ya kushiriki ndoa.Correct timing to drink water, will maximize its effectiveness on the Human body.
Two (02) glass of water - After waking up - Helps activate internal organ
One (01) glasses of water - 30 minutes before meal - Help digestion
One (01) glass of water - Before taking a bath - Helps lower blood pressure
One (01) glass of water - Before sleep - To avoid stroke or heart attack
je kuna utaratibu wa kunywa maji kabla ama baada ya kushiriki ndoa.
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
Anza kunywa kiasi kidogo kidogo kwanza mpaka uzoee ndio unywe hizo glass zinazotakiwa. Kwa asubuhi baada ya kuamka, maji vuguvugu ni mazuri zaidi-kabla ya kupiga mswaki
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
mimi maji kwangu ni kama dawa kwa kweli nakunywa kwa kujilazimisha sana despite knowing its importance in the body!!!!
Ntashukuru kwa usahuri wa kunisaidia kuepuka hili tayizo la kukwepa kunywa maji please (am very serious on this)
sio lazima maji kama maji.
Tengeneza juice ya matunda fresh unywe kama lita 2 mpaka
4 kwa siku...
Upo mrembo?????nime kumiss kiaina....
nipo handsome. Nimekumis kweli kweli pia!!!! Juice nakunywa ila sijafika lt 4 kwa siku bt if that can be better than water ntakunywa kwa kweli!!!! Asante mtanashati!!!!!
Unazungumzia mkojo njia au njia yenyewe?Jaribu checkup ya haja ndogo pia!
huwa unafanya mazoezi kila siku au? ni vizuri ukajenga tabia ya kufanya mazoeziatleast mara 5 kwa wiki na baada hapo nina huakika mwili wako utaweza kuchukua glass mbili za maji ukiamka kabla ya kitu chochote.na usinywe ya baridi sana.jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
Mimi bado nahitaji maelezo ya kina kwenye ili. Na sababu kubwa ni mazoeana nasikia si vizuri kunywa maji wakati wa kula inakuwa inaingilia digestion ya chakula.unaweza kunywa maji nusu saa baada kula chakula kama ni lazima sana basi kunywa kidogo mno wakati wa kula.
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
Ok see the details below.Mimi bado nahitaji maelezo ya kina kwenye ili. Na sababu kubwa ni mazoea