Muda ndiyo tiba pekee ya majeraha ya mapenzi

Muda ndiyo tiba pekee ya majeraha ya mapenzi

Kijana the only cure for your loss is to accept that you're no longer important to her and she don't need you. Move on.
Kubali kwamba kila kitu kinakuja na kuondoka, hiyo ndio dawa pekee.
Except your mama, no one will be with your side forever
Na kama amekukosea, forgive and let go (Msamehe). Usiruhusu kua mtumwa wa hasira na chuki juu ya mtu ambae maisha yake yameendelea bila wewe!
 
Tunaagizwa kua merciful as your ID. Maisha ni simpo sana kutokana na jinsi unavyotachukulia
Uwe Merciful kwako na si kwa huyo mwingine.
Ujijali wewe kwanza na kuweka nguvu kwenye yale yanayokufaa na yaliyo mazuri kwako. Msamaha ni silaha kubwa sana, bahati mbaya wengi wetu tunashindwaga kuitumia na kuishia kujiumiza mwenyewe ili hali wengine wakiendelea na maisha.
 
Back
Top Bottom