Wewe hata unachokipinga sikuelewi. Au ni chuki tu za uoga wa kijinga (Islamophobia)?
Tuitetee vipi tena na tumekupa reference ujisomee mwenyewe? hazijakutosha tukuongeze?
Sayansi yako unayoijuwa leo hii bila maulamaa wa Kiislam usingeijuwa.
Kumbuka hilo.