Muda-nafasi (spacetime) kwenye Theory ya relativity ya Einstein

Nimesoma sijaona space -time ikitajwa kwenye Qur'an
In the Qur'an there are several verses that pertain to the theory of relativity, one of them in Surah Al-Hajj [22]: 47, which means, “Surely a day beside your Lord is like a thousand years from the years You count “. Special relativity is the theory of space-time structure.
 
Kwa Kiswahili ni
siku 1000 dunia ni == siku 1 anapoishi mungu.

Sasa Space-time 👆👆 hapo imeelezwa wapi
 
Kwa kurahisisha mambo,, KWENYE CLASSICAL MECHANICS TUNASOMA COORDINATES 3 (X,Y&Z) lakini kwenye QUANTUM coordinate moja inaongezaka ambayo ni TIME.

Einsten hapa ndipo alianza kuonekana ni jini.
 
We jamaa unaijua Physics.
 
Kwa kurahisisha mambo,, KWENYE CLASSICAL MECHANICS TUNASOMA COORDINATES 3 (X,Y&Z) lakini kwenye QUANTUM coordinate moja inaongezaka ambayo ni TIME.

Einsten hapa ndipo alianza kuonekana ni jini.
Elezea hapo
 
Kwa kurahisisha mambo,, KWENYE CLASSICAL MECHANICS TUNASOMA COORDINATES 3 (X,Y&Z) lakini kwenye QUANTUM coordinate moja inaongezaka ambayo ni TIME.

Einsten hapa ndipo alianza kuonekana ni jini.
Einstein ujuzi wake unawapa utajiri hata hawa wanaofanya virtual betting na interbank markets.

Yaani ni muda na space.
 
Mzee unataka wadau wazame pm
Sifanyi betting kabisa , ni haramu.
Ila Niko kwenye hizi markets, huku ni spacetime ambapo huku axis ni price versus time.
Time na price zikimerge, kunatokea something ambayo Einstein alisema.

Kuhusu virtual betting, nimeweka interms of theory, sijaaply kwasababu sifanyi hiyo kazi ila factor kubwa pale ni numbers and time, alaf kumerge inatokana na repetitions, kumbuka time haimove backwards ila zile namba ndo zinaweza move in any direction kwa kujirudia au ikastart a new cycle.

System yeyote yenye computer algorithm inafuata spacetime relationship ila sasa kwenye space hapo kuna kitu kinabeen replaced, mfano time and price, price inamove down and up ila time always moves forward. Movement ya price down and up ndo inaleta repetition.

Einstein was a genius.
 
Utakuwa umesahau Tu, si huwa unasema Qur'an imesheni science Leo unakana unasema ni sigs na Sio science.

Kweli dalili za mvua ni mawingu
Ukifatilia wengi waliowahi shinda Virtual betting walitumia mbinu hii, hakuna cha bahati, if you know you know.
 
Market Una Maanisha forex?
 
Utakuwa umesahau Tu, si huwa unasema Qur'an imesheni science Leo unakana unasema ni sigs na Sio science.

Kweli dalili za mvua ni mawingu
Qur'ani imesheheni sayansi kwa signs, ambazo wewe kama mwanasayansi ukazifanyie tafiti. Signs zote za kisayansi ndani ya Qur'an hakuna iliyopingana na sayansi baada ya kufanyiwa tafiti.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Munatumia Muda mwingi kuifanya Qur'an ionekane Bora, kumbe kuna ibuka mapungufu kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…