Muda-nafasi (spacetime) kwenye Theory ya relativity ya Einstein

Watu wanakaa wanaangalia mazingira na kuyatambua yanavyofanya Kazi ,, nakila mara Wana gundua vitu vipyaa, cos mazingira ya uliwengu Yana vitu vingi Sana vinavyo shabiana
Kweli kabisa mkuu....
Nakubaliana na wewe
Ila haya madude magumu sana 😂😂🙌🙌🙌
 
Umejitahidi sana lakini ukitaka kuielewa lwa kina hiyo "theory" na kuielezea kwa wepesi, kaisome alikoipatia Einstein.

Theory ya muda ipo kwenye Qur'an na wanasayansi wa Kiislam wa kabla ya Einstein walisha ichambuwa. Jisomee:

 
Kweli kabisa mkuu....
Nakubaliana na wewe
Ila haya madude magumu sana 😂😂🙌🙌🙌
Ukiwa ni mchunguzi inabidi uwe Una weka records kidogo kidogo kwenye book or journals ili ikusaidie Kwa baaadae AU wengine wakija kusoma wajifuze na waboreshe Zaidi ya Kile ulicho kivumbua.

Sio kwamba sisi wa Africa hatufanyi uvumbuzi ,Bali ni kwamba hatuweki records za vumbuzi zetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Sisi wa Africa tunavyofanya Ku transfer knowledge Kwa mdomo Tu, kwa hiyo knowledge zetu zinakuwa mdomoni Tu
 
Sio ishu vifaa mkuu..
Maana unaweza kuwa na idea ya kitu ila sasa wapi uta prove hiko kitu chako ndo changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…