Muda mzuri wa kufanya mapenzi

Muda mzuri wa kufanya mapenzi

Siku moja moja surprise inaruhusiwa hivyo hata kwenye mapenzi wakati mwingine yanatakiwa yafanyike muda wowote na mahala popote hata kama bafuni
 
Kipindi hiki cha mfungo, mashine yangu ya kunjunjia huwa naiacha nyumbani kuepuka kuongea mambo yatakayosababisha mashine na mitambo yake vichachamae na kutaka kuanza kuzalisha

so after the "mfungo" you will talk on those issues? aren't you?
 
Huu uzima umepata wachangiaji wengi kweli sikutegemea, naona mambo ya kugegeduana yanapewa nafasi ya pekee. Anayebisha haya
 
Hamjambo jamani? Mi ni mgeni humu! hodi hodi kwa swali! hv kati ya alfajili,mchana,jioni na usiku upi ni muda mtamu kwa kupeana raha safi na mpenzi wako bila presha wala distabansi yoyote?

Nakweli wewe mgeni..!
 
Hamjambo jamani? Mi ni mgeni humu! hodi hodi kwa swali! hv kati ya alfajili,mchana,jioni na usiku upi ni muda mtamu kwa kupeana raha safi na mpenzi wako bila presha wala distabansi yoyote?


una miaka mingapi?

je umeshapitia jando/unyago ukafunzwa au elimu mtaani dot.com au elimu ya google?

umeshawahi kufanya mapenzi?

kama jibu ni ndiyo , ni mara ngapi?
 
Marahabaaa kajukuu kateule.

Hebu nambie we unapenda kulengwa saa ngapi? Manake sredi za siku hizi zanchekeshaga sana. Hivi shule zimefungwa au?

hiki kizazi cha Mulugo a.k.a division zero kitatutesa sana humu.........
 
Kuanzia asubuhi mpaka jioni, usiku mnapumzika kwa ajili ya kupata nguvu za kuanzia tena kesho yake!!?
 
Ingia kwenye website ya super aport uangalie ratiba ya premier league. Hakikisha kila wakianza mpira na wewe unaanza kunanihii
 
Vizia muda ule ambao wote mmebanwa na mavi (hasa tumbo la kuhara) then anzeni kugegedana..ni kaushauri tu..tahadhari kabla ya kukachukua changanya na zako kwanza!!
 
una miaka mingapi?

je umeshapitia jando/unyago ukafunzwa au elimu mtaani dot.com au elimu ya google?

umeshawahi kufanya mapenzi?

kama jibu ni ndiyo , una miaka mingapi?

Huyu atakuwa na miaka 17,kamalza fm4 na akaambulia zero.Watoto wa mlugo hawa.
 
Back
Top Bottom