Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,619
- 65,083
Umesema mnasikiliza kwaya?Mimi nipo mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
You can't be single...Single tunanyanyasika jamani🙌
Moto unaoMimi niko hapa igulusi
Mwenzangu yupo huko igwachanya
Kaniambia ananyege nmemjibu pole
Nae akajibu haya
Sina😂Moto unao
Hapana jamaniYou can't be single...
Im hear to give you th world
Hujashikwa vizuri weweHapana jamani
Nipo zangu room peke yangu naenjoy music na ka wine mambo ya kusumbuliwa sitaki
Ivo yaan 🤒Hapana jamani
Nipo zangu room peke yangu naenjoy music na ka wine mambo ya kusumbuliwa sitaki
Hilo ni tatizo; huyo sio mwenzahaya mi nipo na rafiki wa mwenza wangu ananiambia leo simba wanacheza lkn firauni nataka nimchapenao hivyohivyo!,vipi nalo ni tatizo...??
single nyinyi ndio huwa akina ibilisi eti...?Single tunanyanyasika jamani🙌
ni nani..?Hilo ni tatizo; huyo sio mwenza
Utakuwaje singo kwa idadi hii ya watu zaidi ya milioni 50?Single tunanyanyasika jamani🙌
Mambo ya longi distensi hayoMimi niko hapa igulusi
Mwenzangu yupo huko igwachanya
Kaniambia ananyege nmemjibu pole
Nae akajibu haya
Labda bado kushikwa na vyumaHujashikwa vizuri wewe
Almajinunsingle nyinyi ndio huwa akina ibilisi eti...?
Ndio, inapendeza sanaUmesema mnasikiliza kwaya?
Maamuzi tuUtakuwaje singo kwa idadi hii ya watu zaidi ya milioni 50?