Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Wana Jf ni muda sasa wa hip hop , tunaandika habar mbalimbali kwa vina na michano, haya twende kazi kwenye hizi ngumu nyeusi mpaka waeleewe
 
ukoloni mambo leo, Kwa watz haujaleta mshangao,ndo maana tumedek barabara na dekio, kisa ujio wa obama, et rais wa dunia nzima, daah kasababisha tz presida kutetema, na kushindwa kuongea ngeli ya kiutu uzima, watz tunashangilia POWER afrika, iliyoletwa na raisi wa amerika, bila kujua kwa vp na wao watanufaika, mikataba imendela kuwa siri, ndani ya serikari , That's Why mirad mingi inafel , coz kwenye mikataba hakunaga ukweli.
 
Siasa bongo hazieleweki,ufisadi haukwepeki,wanaiba wanajenga masaki, wanafilisi mabenki,waalim wanakesha na chaki,bado najiuliza mapinduzi yataletwa na wenye combat za kaki?,sidhihaki amani haipo ila mabomu na fataki,au tujichimbie handaki.

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hatutakiwi kuchimba handaki, nguvu ya umma inatosha kudai haki, hata kama magamba yanaota mengine, Wale wakaki wajitahid wayabane, Pia tuendelee kumuomba dear GOD, awaumbue hawa mafisad, hata kama wanaharakat wanawaita magaid, never give up yatupasa tuproceed, wengine wapo jella kama enzi zile mzee mandela , hawatatuweza hata wakitumia nguvu ya dolla ,
 
nguvu ya dola yenyewe inambwelambwela/wezi wakuu wanaachwa wanaotishwa kina kajala/na ndo mana mpaka kova alipekuliwa/rushwa imejaa kwa wingi/nguvu ya dola imegeuka shilingi.......yo yo yo
 
Kweli rushwa ipo kwa wing, had wa usalama wanakamatwa na bang, Uadilifu hakuna toka ngaz za chini,nenda kajionee rushwa mpaka vijijini, nan atamfunga paka kengele, Kuwazuia hawa watu pesa zetu wasile, ukijifanya tu kupiga kelele, utaaambiwa mchochez na viongoz wale, bora ukimye tu na uwe mpole, labda kutatua matatizo tutasaidiwa na nchi za mbele,
 
Yo yo yo yo am back DullyJr am back yes yah yah...
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuwapongeza, kwa yote mliyoeleza, naona kama mnacheza, sijui kama watasikiliza, maana ni meng yalooza, lakin wanajipongeza, nazid kujiuliza, nani atuliwaza?, je wa kaki wanaweza? Ila Magamba yashaoza, na iman yetu walishapoteza...
 
magamba kitu gani/likija jipya halina tofauti na la zamani/nchi wameiweka rehani/rasilimali zinagawiwa kwa wachina na wamarekani/aaah jamani.....
 
Tanzania kubwa jinga, miaka hamsini bado kiza, wanatumia mabomu ya machozi watu kuwafukiza, mi bado najiuliza, ni bora kuishi maskini kwenye amani, au tajiri kwenye vita?
 
Kweli rushwa ipo kwa wing, had wa usalama wanakamatwa na bang, Uadilifu hakuna toka ngaz za chini,nenda kajionee rushwa mpaka vijijini, nan atamfunga paka kengele, Kuwazuia hawa watu pesa zetu wasile, ukijifanya tu kupiga kelele, utaaambiwa mchochez na viongoz wale, bora ukimye tu na uwe mpole, labda kutatua matatizo tutasaidiwa na nchi za mbele,

obama kashasema matatizo yetu tusolve wenyewe, tusisubiri hadi air force 1 itue ndo tuondoe mawe, hakika tuamke sasa JK nchi kauza,hakuna tena amani wapi PAPI NGUZA, RIP SOKOINE though utata umejaa kifo chako, wapi IMRAM KOMBE ana mengi juu yako, uliwaaidi mahakama ya kadhi upanga, vipi mkuu umesahau au unajipanga,PM kusema wapigwe alipania au kakurupuka, amesaau alipotoka ila atakuja umbuka,BIG UP JAMII FORUMS,
YOU GROVE LIKE DRUMS.
 
Unaweza Ukawa Great, Lakini Sio Thinker, hata kama jf Umember ni wa kwanza kuget, tunakupima kwa post unazoandika, Ukubwa wa pua, Sio Wingi wa makasi, so usijifanye kila kitu unajua , new member kuwaghasi,
 
thanks for advice great cbn, for that lesson count me in, you make it clear to all people, we need humanbeing not people, thats why there is corruptors, PCCB are toothles they are ACTORS, where is our governor balali, he go to hell in USA Really,Plz shadow dr kikwete salvate TBC,Its days are numbered like ATC.yoh mapeople dont forget NHC,Maghufuli and BEN Why this.
 
Worap! Worap! yo! yo! Mic check! one two! one two!

Mcee ndo mimi mkali zaidi ya nyinyi!
I can rap,I can scratch na kudance ka farasi!
Mamcee wengi fake ka Mafisadi,wanasmile usoni moyoni kweusi!
yo yo yo! Sijawahi rap hapa nimejaribu kiasi,ole wako uncheke nitamstua mod akupe life ban!
mic check one two one two!
 
Shark nipe mzuka nichane ka kamanda vitani!
Najiamini kuliko Godbless Lema kadamnasini!
Sijui Kiingereza silazimishi ka brotherman wa msonga.
Yo! Shark zima beat nikemee kwa hotuba ka Obama!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom