Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,229
- 8,925
Msingi umwagilie kwa wiki mbili na pagale limwagilie kwa wiki mbili kabla ya kuezeka.Habari za mchana wajenzi...
Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa kwa hiyo natafuta kuomba likizo ya siku 30 ili nisimamie shughuli yote ya ujenzi hadi ikamilike. Na kama haiwezekani kukamilisha kwa siku 30, naweza kufika hatua gani?
Note.. Hii ni nyumba yangu ya kwanza kujenga/kusimamia na eneo la ujenzi ni DSM
Usitumie chini ya mwezi kabla ya kuezeka, hii italeta tofauti kubwa sana kwenye lifespan ya nyumba yako.
Hayo mengine ni hela yako.
Kumbuka ni kwa kazi iliyo simamiwa na Uvimo