Muda gani sahihi wa Kuoa

UTAKAPOKUWA NA SHUGHURI YA KUKUINGIZIA KIPATO NDIYO MUDA SAHIHI WA KUOA
 
Utakapoona uko tayari kwa majukumu ya familia yako na uwezo wa kukabiliana na changamoto
 
Muda sahihi wa kuoa na kuolewa ni ule muda ambao tayari umeshaachana na starehe zote za uasherati ulizokuwa ukifanya na kuamua kuwa na maisha ya mipango na maendeleo katika familia utakayoianzisha
 
Utapopata mwanamke/mwanaume anakubaliana na uhalisia wako na mapungufu yako na wewe ukakubaliana na uhalisia wake na mapungufu yake plus real love we oa/olewa. Hakuna age restriction linapokuja swala la kuoa
 
Muda sahihi wa kuoa na kuolewa ni ule muda ambao tayari umeshaachana na starehe zote za uasherati ulizokuwa ukifanya na kuamua kuwa na maisha ya mipango na maendeleo katika familia utakayoianzisha
Unamaanisha nini?


Kwamba kila anayetaka kuoa/kuolewa ni mpaka awe amepitia uasherati!
 
Ni muda gani (Umri) sahihi wa kuwa na familia?
...yaani kwa mwanaume anatakiwa ale papuchi siyo chini ya 200...na kwa mwanamke agegedwe zaidi ya 50....maana ki ratio wanawake ni wengi....afu baada ya hapo ni kufikilia ndoa sasa.......



Noted
 
Yaani muda ukifika wala hutajua utajikuta tu unahitaji mke, na muda hutofautiana ndo maana wengine huoa wakiwa na miaka 23 wengine mpaka 45 bado wapo wapo tuuu
 
Back
Top Bottom