Ila Na Wew Ukiwa Kama Bi Mother Wangu Una Saut Kubwa Tuu Ya Kumshaur Na Kunitetea Vile Vile Unayo Nafasi Ya Kunikandamiza Ivyo Ni Wew Tuuu Bi Mother
Nikupe Assignments Ukampe Kesho Mzee Baba..??Hahahaa una maneno wewe siku hizi. .... nani kakufunsisha kuongea hivi. Kipindi kile ulikuwa unaongea kipare tuu hehehehehehee.
Usijali ntakutetea hautopewa adhabu na baba yako.
Huu Ni Mwaka MpyaHahahaha umeanza, haya niambie ni agizo gani hilo? Kama halitaniletea madhara nipe ila kama lina madhara akuu sichukui hehehehehehe
Haya sema n nini?
Mmh thanx kasieAbeeh.....
Ever Smiling Kasie....
Huu Ni Mwaka Mpya
Mshawish Kuacha Kuvaa Miwan
Ila Tafuta Maneno Matam Ya Kumwambia Mzee Mwenzio
Mim Usije Ntaja Aithee
Mmh thanx kasie
Ever smiling kasie
Najuta kuchelewa kuzaliwa
Ila Unajua Mzee Baba anakupenda sana Bi Mother!!!!!?Hahahahahahaa una hatari wewee, na mie nna miwani yangu. Sitoitoa tangu naingia hadi natoka hehehehehhehee
Usijali ujumbe umefika.
Ila Unajua Mzee Baba anakupenda sana Bi Mother!!!!!?
Leo Wakat Amenipigia kunitakia Kheri Ya Mwaka Mpya Nikamwambia Siwez Kuongea Na Simu Kwa Mtu Mkubwa kama Wew Naitaji Kuja Nyumban Kula Pilau
Akaniambia Kesho Nisije Sababu Kuna Bi Mother Anatarahiwa Kuja
Sasa Napata Jawabu La Swali Nillo Kuwa Najiuliza Kwann Mzee Anikataze Nisiende Nyumban Kesho J4 Na Badala Yake Iwe J5...??Hahahahahahaha Ambiele mbona una visa hivyooo loooh.
Nashukuru kwa mahaba yake mujaruba bila shaka atapata mrejesho wa mahaba aliyonayo kwa Kasie hadi arejee ujana wake kama tai hehehehhehe.
Kasinde.
Sasa Napata Jawabu La Swali Nillo Kuwa Najiuliza Kwann Mzee Anikataze Nisiende Nyumban Kesho J4 Na Badala Yake Iwe J5...??
Kumbe Kuna Bonanza Aitheeee
Yani Ukitaka Umuone Mzee Baba Kakasilika Na Umemkela Nijifanye Sijui Kesho Ni LinHahahahahhahahaaa sikujua wewe ni muongeaji hivi aahahahahhahahahhahaaa umenichekesha ujue...... Mi nahisi wewe kesho utajisahaulisha ufikiri kesho ni jumatano badala ya jumanne ili utokee maili moja hahahahhahahaaa.
Picha,Video zote nishazipata,Hahahahhahahaaa weweee acha fujo banaa, usije ukaanza kunipiga mipicha buree. Utanifanya nihame hapa tuhamie kiota kingine....
Asante I just put on my sundae best.
Picha,Video zote nishazipata,
Nasubiria univuruge Ma........
Nikupeleke viral.
Hahahahahahahahaa mie mwenyewe mbona kivurugee. .... sema 2018 bado mpya ngoja ichanganye.
Sasa ukipeleka hizo za kwako viral za kwako itakuwa cha mtoto, wenzio wanazo full HD siku miingii heheheheh
Ever Smiling Kasie.
Zawadi yako kasie