MUCE nao wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUCE nao wagoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PayGod, Jan 17, 2011.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha mkwawa MUCE, na wamegoma kuingia darasani
  source TBC 1, habari saa 2
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mmh, JK ana kazi mwaka huu. hadi anatia huruma
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Kupunguza gharama Pinda hana haja ya kurudi Dar aunganishe Iringa Muce halafu akitoka huko apite SUA najua na wenyewe wako mbioni.
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  madai ya wanafunzi hao ni kutopatiwa fedha ya mikopo kwa muda
   
 5. M

  Matarese JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Teh teh, inaonekana sasa watu wameshajua bila kugoma hapa bongo hupati haki yako,watu wanakula tu!
  Jamani viongozi mlioko madarakani mwogopeni Mungu jamani, lipeni watu stahili zao kadri inavyopaswa!
  Halafu wabongo tuna juhudi kweli ya kwenda makanisani na misikitini kuomba Mungu ila tukirudi maofisini tunaendeleza dhuluma, ni Mungu yupi tunayemwomba? ndio maana Tz kila siku mabalaa, ajali, moto, ukame, magonjwa, kwani tumezidi unafiki!
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi mafisadi hawawezi kuwajali wanyonge misikitini na makanisani wanaenda kwa mazoea tu na wanatambulika na kuheshimika waingiapo kwenye nyumba hizo za ibada wakati ni wezi na wauwaji wakubwa
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hali mtu haletewi kwenye kisahani!!!!!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Twende kazi ndo maisha bora kwetu!
   
 9. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pia bado udom kunawaka moto wanachuo bado wako kwenye mgomo pinda amesuluhisha wahadhiri ambao nao kumbe ni wahadhiri wa kata kama serikali ilikuwa inawapunja kisha unaimba tunaimani na serikali kisha tunaimani na pinda kusema kweli jana niliwaona wale wahadhiri ni sawa na wanafunzi wa kata hakuna mwanaharakati pale wote vibaraka tu
   
 10. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Simple minded!
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani sijui nini kinachotokea, watu wamebadilika mno. Hali hii inabidi serikali yetu ijitathamini siyo kinafiki bali kwa kumananisha.
   
 12. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Institutional failure!
   
 13. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  inawezekana kweli mkuu! manake duh, kila kitu kila mahali shaghalanaghala
   
 14. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hii migomo ilikuwepo toka mwanzo, sema tofauti ya wakati ule na sasa ni kuwa ,wakati ule kulikuwa udsm tu.
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kazi ipo.......................
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siyo kidogo, hali ni ngumu inabidi UWT wamshauri mkuru kubadilika vinginevyo miaka yake 5 ya Ikulu itakuwa kama nusu Jahanam!!!!!!!!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  uwt wenyewe hamna ki2 nw adays,uwt 4rm 4 wapo kibao wanazurura,hata saikolojia hawajui,wanapewa kaz kwa fadhila 2,
   
 18. Mtembea_peku

  Mtembea_peku Senior Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi anayo mkuru ...ikulu hawabebi zege bt kwa changamoto za term hii atatia akili.....bla bla nyingi tatizo hajawajibisha watu ndio maana system yote total failure....mtu akiharibu anahamishwa ...piga chini wazembe ndio nchi itanyooka...uswahiba everywhere ngoja aone utamu wa shubiri...
   
Loading...