Hizo source zako hazina tofauti na Tanzania Daima, au Mwanahalisi! Mubarak yuko Misri na atahutubia Taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama tawala cha Misri! na sasa naangalia live Aljazeera English hakuna hicho unachokipakazia! angalia hapa: Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English
Na hii issue haina uhusiano wowote na TZ! sisi tunayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi na sio haki kulinganisha Utawala wa Egypt chini ya Hosni Mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!
Sisi katiba yetu hairuhusu Rais kutawala zaidi ya miaka 10! na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama Egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! TZ uhuru huo upo ndio maana magazeti kama Mwanahalisi yanaweza kumuita Rais Jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!
Hivyo msichanganye mambo! h
Pasco anaangalia ccn sijui ndio media outlet gani hiyo...
Protesters are 15km from the palace,they slowly moving towards the presidential palace.
They are chanting;
Down!Down!Down with Hosni!!
Mkubwa,nakubali kuwa corruption Africa hatujambo,hata hivyo issue hapa ni kwanini wananchi walio wengi hawashtushwi na hilo?maybe ni kwasababu in reality,wameshindwa ku grasp madhara halisi ya corruption...?Wameshindwa kufanya hivyo kwasababu wale wanaoathirika zaidi ambao ni wengi,hawako kwenye nafasi ya kufanya mapinduzi kama ilivyo kwa wenzao wa Misri...Mkuu Mushi1, kuna nchi za weusi zenye wasomi wengi lakini hawana kitu. Fikiria nchi kama Nigeria, ni nchi yenye kiwango kizuri cha elimu. Raia wake wengi wana elimu nzuri tu. Lakini hakuna viongozi na serikali iliyo-corrupt kama Nigeria. Wananchi wanaishi kwa mateso makubwa. Lakini wako tayari kufa kwa shida hizo kuliko kukabiliana na viongozi wabovu. Shida? Ni woga!!! Nilikuwa naongea hivi karibuni na rafiki yangu mmoja kutoka Nigeria, alikubaliana na mimi kwamba hakika sisi weusi tuko waoga kujitoa muhanga ili - hata kama tusipofaidi sisi - wafaidi vizazi vijavyo.
According to different media sources (CNN, Al Jazeera, e.t.c) Mubarak delegated power to Vice president Suleiman, but he didn't step down.swali langu ni mubarak bado ni rais au madaraka kampa makamu wa rais?