Mubarak na Gaddafi kufikishwa Mahakamani?

Mubarak na Gaddafi kufikishwa Mahakamani?

muhosni

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,108
Reaction score
154
Serikali mpya ya Misri inaandaa mashitaka ya rushwa na ufisadi dhidi ya rais wao wa zamaniHosni Mubarak ambaye alikosa nchi ya kukimbilia

Okampo naye anaanzisha uchunguzu kuhusu tuhuma za madai ya mauaji na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na serikali ya Libya tangu tarehe 16 Februari. Kama ushahidi ukipatikana Gaddafi atafikishwa The Hegue

Source: CNN
 
Back
Top Bottom