Mubarak ana utajiri gani?

Mwamatandala

Member
Jul 17, 2009
44
3
Waungwana,japo ni mara ya kwanza naandika ktk safu hii,naanza na swali moja kwa moja.baada ya kuangushwa rais mubarak wa misri,ningependa mwenye ufahamu juu ya hili anijuze utajiri wa kiongozi huyu.
 
Mubarak awe na feza kidogo au lukuki haikusaidii kitu. Lete hoja za mafisadi nchi hii tujadili.
 
Back
Top Bottom