Muathirika wa Tetemeko lA Kathmandu

Muathirika wa Tetemeko lA Kathmandu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Baadhi ya Waokoaji wakiwa wamsaidia mmoja wa waathirika wa Tetemoko hilo aliekuwa amefukiwa kwenye kifusi ya moja ya majembo yaliyoporokoma kutokana na tetemeoko hilo.
27F9E8A700000578-3055045-image-a-24_1429959017387.jpg
 
Watu wengi wamepoteza maisha.

Inasikitisha sana
 
Baadhi ya Waokoaji wakiwa wamsaidia mmoja wa waathirika wa Tetemoko hilo aliekuwa amefukiwa kwenye kifusi ya moja ya majembo yaliyoporokoma kutokana na tetemeoko hilo.
View attachment 247135

Duwh kwani huyu muhanga alikuwa mweupe au mweusi??? Kama alikuwa mweupe bhasi aliangukiwa na kopo la rangi...... So sad poleni sana
 
Duh nasikia itafika 10,000, naomba MUNGU isifike huko
Ndugu hili baa ni hatari.

Idadi imeongezeka mpaka kufikia hivi sasa ni zaidi ya watu 4400 wamepoteza maisha na idadi inaendelea kuongezeka, 8000 majeruhi
 
Taifa zima la nepali wanalala nje kwenye matent siku ya pili leo kuna marafiki zangu kule nashukuru wapo salama
 
Duh nasikia itafika 10,000, naomba MUNGU isifike huko
Ndugu tuombe isifikie huko kwa kweli hawa jamaa ni miaka 80 sasa kukumbwa na baa kubwa la kufanana na hili ila ili baa la safari hii limevunja rekodi
 
Wandugu Sina la kusema ispokuwa :- Laa hawala wa Laa Quwata iLa BiLLaahi L 3aliyu L 3adheem !! (hatuna hali wala Nguvu, ila ni zake Mwenyeezi Mungu)
 
Back
Top Bottom