ZEE BABA
Senior Member
- Jan 19, 2011
- 169
- 59
wana JF naombeni tushirikiane ktk hili, tuzo za kili music ziliasisiwa na Marehemu James Dandu,yeye ndiye aliwatafuta wadhamini na kabla ya hapo kulikuwa hakuna kitu ambacho wasanii wetu walikuwa wakijivunia.Leo hii muziki umefika levo nyingine ukilinganisha na miaka ya nyuma pamoja na kuwepo kasoro katika fani hii ya burudani.Naomba tujadili ushiriki wa marehemu Dandu ktk uasisi wa tuzo hizi