MWALLA JF-Expert Member Dec 12, 2006 16,952 10,500 Mar 14, 2016 #1 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akisaidiwa kunyanyuka baada ya kutumbukia kwenye mfereji wa maji
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akisaidiwa kunyanyuka baada ya kutumbukia kwenye mfereji wa maji
J jabulani JF-Expert Member Aug 1, 2015 5,547 11,701 Mar 14, 2016 #2 Ni taswira ya jinsi ccm itakavyoanguka.
MWALLA JF-Expert Member Dec 12, 2006 16,952 10,500 Mar 14, 2016 Thread starter #3 jabulani said: Ni taswira ya jinsi ccm itakavyoanguka. Click to expand... inawekezana etieeee??? ngoja tuone na mwanzo ndo huu ati!
jabulani said: Ni taswira ya jinsi ccm itakavyoanguka. Click to expand... inawekezana etieeee??? ngoja tuone na mwanzo ndo huu ati!
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Mar 14, 2016 #4 Labda alizidisha mbege, si unajua ilivyokuwa tamu kama togwa
kuduman201036 JF-Expert Member Aug 26, 2015 4,058 2,172 Mar 14, 2016 #5 daaaaaaah aliyepiga picha aliichukua safi saana mm nadhani alifikiri atakuwa ktk orodha ya wakuu wa mikoa wapya ,kama hii pcha ingeonwa na mh Rais
daaaaaaah aliyepiga picha aliichukua safi saana mm nadhani alifikiri atakuwa ktk orodha ya wakuu wa mikoa wapya ,kama hii pcha ingeonwa na mh Rais
Fidelis Gregory Senior Member May 25, 2015 147 51 Mar 14, 2016 #6 CCM kama imeshindwa kuanguka 2015 haitoanguka kamwe ni kama chama cha Kikomnisti China mpaka leo kipo na ndo kimaleta maendeleo
CCM kama imeshindwa kuanguka 2015 haitoanguka kamwe ni kama chama cha Kikomnisti China mpaka leo kipo na ndo kimaleta maendeleo