Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,493
- 17,533
Alifanya mazuri kwa Libya Ila udikteta ulimponza.
Gadafi ni kiongozi mzuri lakini kitendo chake cha kungangania madaraka sio kizuri hata kidogo angeachia na wengine abaki kama mshauri dictatorship is not loved at all