Yaliyofanyka yamefanyika Ili litimie lile neno lililosemwa...let us turn to The Almighty for security & assurance, no human being can stand up to them, gadda wasn't the first, & I'm sure as hell he won't be the last.kosa lipi mkuu?
for sure hawezi kuwa the last. Ila haimaanishi tuwaamini sana hao watendao hayo maovu. At leat, let us know them for what they are - evil minded.Yaliyofanyka yamefanyika Ili litimie lile neno lililosemwa...let us turn to The Almighty for security & assurance, no human being can stand up to them, gadda wasn't the first, & I'm sure as hell he won't be the last.
Evil but cunning & super intelligent (Lucifer)for sure hawezi kuwa the last. Ila haimaanishi tuwaamini sana hao watendao hayo maovu. At leat, let us know them for what they are - evil minded.
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bundukikama angesoma, alitakiwa afanyeje mkuu?
una maana kuwa marekani ilikuja KUWASAIDIA walibya?Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki
Unaonekana Bado mwepes, Basi nakutafunia na hili umalizie..kwa hiyo tukunje mikono na kuwaacha wafanye kila watakacho?
Marekani ilikuja kwa interest zake. Gaddafi ndio alishindwa kuwasaidia Walibya kwa kushindwa kuweka misingi madhubuti ya kupokezana uongozi pamoja na kukaa madarakani zaidi ya miaka 40. Matokeo yake alivyoondoka kila kitu kikavurugikauna maana kuwa marekani ilikuja KUWASAIDIA walibya?
Ni kweli Gadafi alipenda Afika iungane - jambo ambalo ni gumu kufanya mara moja. Lakini kwenye post yangu nimeweka video yake fupi ya dak moja. Anaongelea mipango ya mataifa tajiri kutengeneza chanjo na ili kunufaika kiuchumi.Nilipata kusikia kwamba jamaa anataka aifanye africa iungane iwe nchi moja...Hili kwangu nililiona ni jambo zuri..s
mkuu umesikiliza na ka-video niikoweka kwenye post?Marekani ilikuja kwa interest zake. Gaddafi ndio alishindwa kuwasaidia Walibya kwa kushindwa kuweka misingi madhubuti ya kupokezana uongozi pamoja na kukaa madarakani zaidi ya miaka 40. Matokeo yake alivyoondoka kila kitu kikavurugika