Muafaka: Cuf nayo kujivua gamba?

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu. Chama Cha Wananchi (ccw) alimaarufu kama CUF Or CCM B, Kutokana na kuwa karibu/ kufanya kazi na ccm ambayo imekili imepoteza mvuto, na kusababisha jana kujivua gamba. Je maswaiba wao wa muafaka CUF nao kujifua gamba?
 
Back
Top Bottom