Mkuu akina malla na wenzake mpango wao ni kuwa kata zilizo chini yao zisiwe na maendeleo mpaka 2015 kitu ambacho kitamfanya Lema asipite kwenye kata hizo 4 na hilo linafanywa kwa ushirikiano wa karibu kabisa na serikali ya CCM ili kulikomboa jimbo la Arusha mjini, kuna wakati huwa najiuliza hivi Arusha mjini kuna dhambi gani kuongozwa na upinzania watu wanatumia kila mbinu imradi tu kulirudisha jimbo hili CCM...na hayo ya kwenda mahakamani ni kutokuwa na usikivu na uelewo mdogo kwa kutolitambuwa kosa lao.
Ilitakiwa waombe radhi katika kamati kuu ya CDM na wabakie kuwa wanachama tu na sio kwenda mahakamani, aina hizi za siasa ni za
kuvimbisha matumbo yao na kuwaacha wananchi katika hali ngumu amna maendeleo hapo.
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
*mmethubutu kufanya nini?
*mmeweza kufanya nini?
*mnaenda wapi mkitokea wapi?
Sasa hapa naona kazi inakuwa ngumu, maana nilikuwa sijui hata uelewa wa masuala ya msingi kama, serikali na chama upo wapi. Sina maneno rahisi ya kulieleza hili zaidi ya haya, Kikwete tunapomuita Rais inamaana ni kiongozi wa serikali na tunapomuita mwenyekiti wa CCM ni kiongozi wa chama.
Hii ni dhana rahisi sana, mtu mmoja anaweza kuwa na role zaidi ya moja, mfano Mengi ni mwenyekiti wa makampuni ya IPP lakini pia ni baba. Mwanawe Regina ni mfanyakazi wa IPP, inategemea na mazingira lakini Mengi anaongea na Regina wakati tofauti tofati kama baba na mazingira ya kazi anaongea na mwanawe kama bosi wake. Ndivyo ilivyo kwa serikali na chama, chukulia Mkuchika ni mtoto wa CCM na CCM ni baba kwa Mkuchika.
Lakini pia CCM ana duka linaitwa serikali, sasa Mkuchika akitumwa kuuza duka baba yake kama muajiliwa tayari anakuwa na mahusiano ya aina mbili na CCM (yaani baba na bosi reje mfano wa regina na Mengi). Sasa ukigombana na Mkuchika labda kakuchulia mpira mliokuwa mnachezea, unapokwenda kushitaki kwa CCM hapa unakuwa unatumia ile mamlaka ya uzazi yaani baba. Lakini kama wateja wakikuta duka halijafunguliwa hawaendi kumuambia CCM kama baba bali bosi.
Nilitumia mfano huu kwa wanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu wakanielewa naa assume na wewe unaweza kuelewa. Ushauri wangu kabla hata hujaenda huko kwenye masuala ya chaguzi anza kwanza kujifunza hizi dhana, maana ni lazima uweze kuzitofautisha la sivyo hutaelewa kwa nini Pinda ni muhisika mkuu kwenye chaguzi za halmashauri na Mukama.
...Kwa ushauri tu...Wakati Mwingine Kukaa Kimya Ni Busara, hizi ni dalili za kufikia mwisho wa uwezo wa kufikiri, jitahidi sana kuongeza bidii ya kufikiri, itakusaidia sana....
Nilikuwa nina amini kuwa Dr W.Slaa ni muarobani katika kujibu maswali kumbe naye ni walewale. Nataka nijue katika hatua hii tuliofokia mazungumzo ya muafaka yanafaida gani kwa chadema? Madiwani wa meshafukuzwa kutoka chamani ni mjinga tu ndiye anayeweza fikiria kuwa cdm haina mgogoro na madiwani walio fukuzwa. Kesi zinazotokana na sakata hili ziko mahakamani, watu wamepoteza maisha na kupata vilema kwenye sakata hili n.k, sasa nataka kujua kutoka kwa Dr au mwingine yeyote anayeza kumsaidia katika mazingira haya mazungumzo ya muafaka yanatija yeyote kwa cdm?
Wow! very strong statement! - I think u have gone overboard, something is very wrong! umejikanyaga sana mkuu wangu labda kapumzike kidogo upate upepo..Nimekusoma na sikutaka kuamini kama kweli haya yametoka kwako.If CCM is dancing CDM tunes, why blame it for the hardships that Tanzanians are facing right now? All you guys have been advocating is lowering taxes and putting NMB and Airtel in DSE.
You promised free education for all but in your budget, you never showed us how exactly you gonna generate the money to fund that promise.
You never came with a solution on how we gonna end the energy crisis,apart from recycling and fine tuning CCM policies.
You don't have a foreign policy,other than hugging conservatives and Christian Democrats,the advocates of imperialism.
As a party,you dont pay taxes and your leaders openly disobey court orders.
You prefer backdoor negotiations to the rule of law.....why? Why are you guys so local?...Trying to reach out to CCM and make deals instead of going to court.
You are a party that was founded by IMF/WB puppets who don't believe in public ownership of anything,and today just to get the votes, you are acting as if the free market system,SAP and other imperialistic policies are to blame while you were siding with the west when we were trying not to fall victim to those policies.....what happened? Loist interest all of a sudden?
There's a movement, and that movement is within CCM.It's pure socialism that is gonna put our country back on the map.We are gonna work from the inside, and I believe we gonna change CCM and bring about real social and economic changes, but we will never, never be led by CDM.
That was not a promise, IT'S A GUARANTEE!!!
Muulize Tendwa aliyeitisha mazungumzo, alafu kama unadhani Dr hawezi kujibu maswali jaribu kwa Kikwete.
muolewe mara ngapi?chadema ni chama makini,sidhani kama kinataka kuolewa kama cuf ila kinataka kumaliza tatizo la mgogoro wa arusha.kama ni kweli hapo ndipo mtajua undumilakuwili na uwongo wa waziri mkuu.
Pili kama ni ndoa ccm ilishalazimisha na mtoto wa shule(madiwani) kilichotokea mmekiona.
Hii ya sasa labda magamba yatake bwana tofauti na hapo mtakuwa mashahidi wa yatakayotokea arusha.
Mnajua ni kwanini azimio la kiutu na maadili lilianzia arusha?
Arusha ni geneva ya africa na hilo litajidhihirisha kwenye hili.
Naelekea church.
Nadhani hapa ushabiki ndio unaotawala,kuhusu mgogoro wa Arusha,CCM bado haijapata official notification,hawajachagua wawakilishi...CDM wamepata na wamechagua wawakilishi.
Mimi kama mwanachama hai wa CCM sikubaliani na azma ya CDM/tENDWA kuhusu haya mazungumzo.Hayana mantiki yoyote kwa CCM as a party.
Mnasema mna timu kali,ndio maana tunawaogopa,...puh-lease!! there are 10 times as many PhDs in CCM than all oppossition parties combined!!
Overboard huh?Wow! very strong statement! - I think u have gone overboard, something is very wrong! umejikanyaga sana mkuu wangu labda kapumzike kidogo upate upepo..Nimekusoma na sikutaka kuamini kama kweli haya yametoka kwako.
Vipi Mkuu Hoja Ya Kiswahili Unaijubu kwa Kiingereza eeh! Ushakuwa Jesca Brown! Wa Igizo la Tausi Kenya!!Unlawful assembly as pertaining to what?..Of course there's a connection between the Arusha mayoral election and the jan 5th illegal demo.
You have been(together with other CDM members) accused by Nape of trying to use the "mayoral election saga" as a tool to get the case thrown away,I personally don't think the route that you took was legal or even logical.Why are you trying to talk to the prime minister?,who is reaching out to the other?Is it CCM?
If you were not satisfied wth the way the election was conducted,why didn't you guys go to the court? How did Kaborou won kigoma elections back in the days? WAS IT THROUGH ILLEGAL DEMONSTRATIONS OR THROUGH THE COURTS?
As a prominent politician and a former pastor,can you tell us the reason(s) you guys chose not to go to court?....I'm a CCM member and I woldn't appreciate if my party will be dragged into this,unless the judiciary is involved.....keep the executive and the legislature out of this please,that sounds so absurd.And about Mipashos/vijembe/taarab......C'mon! you are better than that!
Mimi sijaelewa hapa, maelezo ya Nape ni kuwa mgogoro kama upo basi unahusisha, CDM, Mahakama, Madiwani waliokuwa wa CDM na mkurugenzi sasa hapa CCM inaingia vipi? Ulipotakiwa kujibu ulipaswa na wewe uache dharau na uoneshe CCM inahusika vipi. Hayo majadiliano kwa nini yawahusishe CCM wakati wao hawahusiki kwenye huo mgogoro?
Teehe! teh! teh!....tuliza boli.Vipi Mkuu Hoja Ya Kiswahili Unaijubu kwa Kiingereza eeh! Ushakuwa Jesca Brown! Wa Igizo la Tausi Kenya!!
Lowasa mnamtaka yeye na wenzake waachie ngazi CCM kwasababu wameikosea nini CCM kama kwako wewe makosa ya watendaji wa serikali haiyausu CCM?