Thanx....we have the government too!!......mkitaka kuingia kitaa it's all good,tutachapana vilevile.Yes I agree, wa kwanza ni Dr, Dr, Dr, JK, Dr, Mary Mwanjelwa, Dr Rwakatare, Dr Augustino Mrema n.k aaaaah nilitaka kusahau Dr Didas Masaburi, Dr Masumbuko Lamwai, Dr Mihanjo, Dr Mwakyembe, Dr Daud Balali, Dr, Benson Bana, Dr e.t.c. Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele. Sikuwahi kufikiri kuwa kumbe majibu ni rahisi kiasi hiki. Umesahau Ma Prof nao wako wengi kama Prof Mukandala, Benno Ndulu, Kikula, Mlacha, n.k
Hongereni sana Mkuu
Ndipo fikra zako zilipoishia?? wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi...
Nape haoni tofauti ya kiongozi na mtawala, kwanza ukatibu uenezi wake si wa kitaifa.Nape Mi sina heshima yeyote na wala siitaji heshima aina hiyo unaidhani na kufikiri nina heshima kubwa mbele za Mungu wangu na sehemu ambazo watu wanatumia ubongo zaidi kuliko mdomo! kama nilivyokwisha kusema ndivyo unavyothibitisha hapa labda ujiulize mwenyewe wajumbe waliokuwa wanachaguliwa na M/Mkuu kuingia NEC walikuwa wanamwakilisha nani katika vikao vya NEC? au kwa lugha rahisi wanamwongoza nani? katika shughuli zao za kila siku? Ulikuwa Kiongozi wa NEC! au Kiongozi wa M/Mkuu!?
Wewe hujawai kuwa kiongozi mahala popote Nape, huo ndio ukweli labda kama wewe dhana yao ya neno uongozi inakinzana na maana halisi ya uongozi, maana hata Qadhaffi alikuwa anasema yeye ni kiongozi wa Libya ingawa walibya walikuwa hawajampigia kura hata siku moja.
Umemsahau Prof. Maji marefu.Yes I agree, wa kwanza ni Dr, Dr, Dr, JK, Dr, Mary Mwanjelwa, Dr Rwakatare, Dr Augustino Mrema n.k aaaaah nilitaka kusahau Dr Didas Masaburi, Dr Masumbuko Lamwai, Dr Mihanjo, Dr Mwakyembe, Dr Daud Balali, Dr, Benson Bana, Dr e.t.c. Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele. Sikuwahi kufikiri kuwa kumbe majibu ni rahisi kiasi hiki. Umesahau Ma Prof nao wako wengi kama Prof Mukandala, Benno Ndulu, Kikula, Mlacha, n.k
Hongereni sana Mkuu
Ngoja kwanza babu yenu aliyekuwa anawapa kichwa Afrika achapwe nasikia ameomba yaishe wanamme wamekataa.Thanx....we have the government too!!......mkitaka kuingia kitaa it's all good,tutachapana vilevile.
lazima 2 ya 3 ya wajumbe wawepo ukumbini na wasaini mahudhurio ila kwa arusha hakuna kitu kama hicho ..
Arafat kakuambia sibiri kwanza aongee na mwenye mbwa kinachokufanya ubweke ni nini..Mpuuzi nini wewe, kama unamuuliza mwenye stahili yako kwanini usimfuate huko Lumumba? Kwanini uulize hapa kwenye jukwaa la jumuia, halafu stahili gani uliyonayo wewe, akili zako tu kutokana na unayoandika zinaonesha hazikutoshi. Kama unataka kuongea na Nape peke yakee tafuteni faragha yenu muongee huko uone kama kuna mtu atakuingilieni lakini ukija hapa unaongea na public. Wewe ni mpuuzi limbukeni na mshamba sana.
Arafat kakuambia sibiri kwanza aongee na mwenye mbwa kinachokufanya ubweke ni nini..
Umemsahau Prof. Maji marefu.
Jionee huruma wewe mtumwa wa Nape heri niwe mtumwa wa mwili kuliko kuwa mtumwa wa akili kama wewe.Nakuonea huruma sana.
Mpuuzi nini wewe, kama unamuuliza mwenye stahili yako kwanini usimfuate huko Lumumba? Kwanini uulize hapa kwenye jukwaa la jumuia, halafu stahili gani uliyonayo wewe, akili zako tu kutokana na unayoandika zinaonesha hazikutoshi. Kama unataka kuongea na Nape peke yakee tafuteni faragha yenu muongee huko uone kama kuna mtu atakuingilieni lakini ukija hapa unaongea na public. Wewe ni mpuuzi limbukeni na mshamba sana.
Ahaa Pole sana, imekuuma lakini ndio ukweli kama mwenye mbwa kaja kuna haja gani ya kuendelea kuongea na Mbwa wakati mwenyewe yupo?
Mi siku zote huwa sizozani na kelele za mbwa hata siku moja.
Low self esteem, ninao uwezo wa kupeleka haya mazungumzo huko unapopataka, tena nina nyenzo zoote ikiwemo ID zaidi ya 15 za kuja kutukana hapa, lakini kwa kuwa naheshimu haya yanayojadiliwa hapa nakuomba tena kwa unyenyekevu acha kutupeleka huko, nadhani kuna sehemu katika moyo wako mkunjufu wa kitanzania itakuwa imenisikia ahsante.
Haya lete hoja sasa kwanini hamtaki mazungumzo.
..., kwa nini mfanye mazungumzo na CCM? CCM si mahakama wala halmashauri, [...] kama Mkuchika kakosea kwa nini ninyi msiongee na bosi wa Mkuchika [ ... ]endeleeni na [...] mkurugenzi aliyepindisha uchaguzi [ ... ] acheni CCM ifanye shughuli zake kwa kuwa CCM si chama cha kushughulika na mgogoro wa halmashauri moja mwaka mzima wakati kinaongoza halmashauri karibu nchi nzima.
Jaribu kuongoa kwa mantiki wakati CCM wanaongea na Kafu kule zanzibar Kafu ilikuwa mahakama.Yaani hapo ndipo hata Dr Slaa anashindwa kujustify, kwa nini mfanye mazungumzo na CCM? CCM si mahakama wala halmashauri, kama mna haja na mazungumzo au kama Mkuchika kakosea kwa nini ninyi msiongee na bosi wa Mkuchika ambaye tayari mnaendelea naye katika mazungumzo? Labda ingekuwa huyo mkurugenzi kaamua uchaguzi ufanyike na CCM wakakimbia hapo mngeweza kuihusisha lakini as it is now endeleeni na mahakama, mkurugenzi aliyepindisha uchaguzi kwa madai yenu, na madiwani wenu, acheni CCM ifanye shughuli zake kwa kuwa CCM si chama cha kushughulika na mgogoro wa halmashauri moja mwaka mzima wakati kinaongoza halmashauri karibu nchi nzima.
Kuna wakati kujadiliana nanyi inahitaji moyo sana. Maana nyie ni zaidi ya kinyonga.
Hayo maneno yako yanakinzana yenyewe mpaka napata mpaka hata siamini kama yanatoka kwa mtu mmoj au watu tofauti kila mmoja kaweka beti zake! maana inaonekana hapo hata Mkuchika si CCM tena ili mradi umejenga hoja yako. Na CCM si chama kilichoshikilia Dola hapa ili maradi kama unaweza kujenga hoja ili kuepusha CCM na lawama za watendaji wa Serikali?!
Sawa, Sasa huyo Bosi wa Mkuchika unayemsema ni yupi na yupo chama gani! Maana kama W/Mkuu ni CCM na ndiye aliyetowa maagizo kwa Tedwa juu ya kukalisha CCM na CDM kutatuwa hujuma za KiQadhaffi zilizofanywa AR.
Jaribu kuongoa kwa mantiki wakati CCM wanaongea na Kafu kule zanzibar Kafu ilikuwa mahakama.